pingli-nywee
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 11,923
- 13,350
Nyuzi kama hizi za kueneza chuki dhidi ya wakenya wanaoishi na kufanya kazi Tz hazihesabiki humu Jf.
>>>https://www.jamiiforums.com/threads/hawa-wakenya-hawana-huruma-tuwakazie.1026274/
Tukio la matamshi ya kichonganishi kutoka kwa mkenya mmoja tu, mbunge wa eneo bunge la Starehe, Mheshimiwa Charles 'Jaguar' Njagua limedhihirisha wazi unafiki wa majirani zetu watanzania.
Tofauti na wakenya na viongozi wao ambao walimkashifu vikali Jaguar kwasababu ya tamko lake. Watanzania huwa wanaona sifa kueneza chuki dhidi ya wakenya.
Rejelea lile tukio la kishetani, la kutia moto vifaranga kutoka Kenya au ngombe wa wafugaji kutoka Kenya walipopigwa mnada. Watanzania walisifia sana hatua hiyo ya rais wao, na sikuwaona wakikemea vikali tukio hilo kama wakenya.
Kwa watz waliowakashifu na kuwakemea wakenya kwa sababu ya tamko la Jaguar, na bado ndio nyinyi tu ambao huwa mnachangia kwenye kueneza chuki dhidi ya wakenya jueni kwamba 'what goes around comes around'. Acheni unafik, badilikeni.