Hakuna anae celebrate terrorist kuhit Kenya wala popote pale. Ila kinachotokea ni kuwa weaknesses zinakuwa pointed out pale mnapofanya dharau zenu dhidi ya mataifa mengine ya Africa mashariki. Kujiona kuwa nyie ndio wajuaji, kujifanya mnajeshi la kileo zaid na kuwafanyia dharau mataifa mengine ya EA.Some of this 'so polite' guys celebrate when terrorists hit Kenya!
Sasa mfano kama mimi ukija kunionesha dharau dhidi ya Jeshi letu la TZ kisa umegeiwa f-35, mi ntakudharau kushindwa kuwadhibiti magaidi ambao watumiao AK47 tu.
Wacheni majigambo na madharau, hichi ndio kikwazo cha ushirikiano EAC