Unafiki wa majirani zetu watanzania

Unafiki wa majirani zetu watanzania

Some of this 'so polite' guys celebrate when terrorists hit Kenya!
Hakuna anae celebrate terrorist kuhit Kenya wala popote pale. Ila kinachotokea ni kuwa weaknesses zinakuwa pointed out pale mnapofanya dharau zenu dhidi ya mataifa mengine ya Africa mashariki. Kujiona kuwa nyie ndio wajuaji, kujifanya mnajeshi la kileo zaid na kuwafanyia dharau mataifa mengine ya EA.

Sasa mfano kama mimi ukija kunionesha dharau dhidi ya Jeshi letu la TZ kisa umegeiwa f-35, mi ntakudharau kushindwa kuwadhibiti magaidi ambao watumiao AK47 tu.

Wacheni majigambo na madharau, hichi ndio kikwazo cha ushirikiano EAC
 
niliwaona akina MK254,mwaswat,jenerose,pingli-nywee wakishangilia ile speech pale nyuma yake.
 
Eti wakenya wako very agressive hahah wachaga wameshaenda kukamata fursa huko Kenya sa hivi wakenya wanalia lia tu.
 
Answer is simple.. Watu wengi hata katika maisha ya kawaida akikuchukia Sana ujue Kuna vitu umemzidi. Ktk suala LA hardwork na kuchangamkia fulsa jamaa wako Vizuri... Sisi tumezoea Uvivu Uvivu tu hata makazini.,vijana hawana confidance, intelligent etc... Angalia diaspora yao mambo inayofanya na huku. Etc...ukizidiwa vitu na Mwenzio sio kumchukia nikulearn kutoka kwake.
 
Nyuzi kama hizi za kueneza chuki dhidi ya wakenya wanaoishi na kufanya kazi Tz hazihesabiki humu Jf.
>>>https://www.jamiiforums.com/threads/hawa-wakenya-hawana-huruma-tuwakazie.1026274/

Tukio la matamshi ya kichonganishi kutoka kwa mkenya mmoja tu, mbunge wa eneo bunge la Starehe, Mheshimiwa Charles 'Jaguar' Njagua limedhihirisha wazi unafiki wa majirani zetu watanzania.

Tofauti na wakenya na viongozi wao ambao walimkashifu vikali Jaguar kwasababu ya tamko lake. Watanzania huwa wanaona sifa kueneza chuki dhidi ya wakenya.

Rejelea lile tukio la kishetani, la kutia moto vifaranga kutoka Kenya au ngombe wa wafugaji kutoka Kenya walipopigwa mnada. Watanzania walisifia sana hatua hiyo ya rais wao, na sikuwaona wakikemea vikali tukio hilo kama wakenya.

Kwa watz waliowakashifu na kuwakemea wakenya kwa sababu ya tamko la Jaguar, na bado ndio nyinyi tu ambao huwa mnachangia kwenye kueneza chuki dhidi ya wakenya jueni kwamba 'what goes around comes around'. Acheni unafik, badilikeni.
True dat ,waTz hawana uungwana mi wenye chuki na wivu sana.
 
Watanzania hawana chuki na Wakenya. By the way, Wakenya wanaoishi na kufanya kazi Tanzania wanaishi kama wako Peponi. Wana position nzuri, wana mishahara minono, wanalipiwa nyumba, wanasomeshewa watoto nk. Benefits ambazo ni Watanzania wachache sana wanaweza kuzipata.

Anayekwambia Wakenya wananyanyasika Tanzania atakuwa kakudanganya...
 
Hivi si ninyi ndo huwa mnaongoza kuwachafuwa watanzania? Alafu mkiguswa kidogo tu mnaanza kuweweseka nyani msioona kundule
Eti kuguswa kidogo? Jiwe amekuwa akiendeleza sera za kibaguzi dhidi ya wakenya tangia siku ya kwanza aliposhika hatamu. Amefanya mengi ambayo sote tunayajua. Ila wakenya wamekuwa wavumilivu kupindukia, sasa jana ilikuwa ni taharuki ya kufa mtu kutoka kwenu. Tena kwasababu ya tamko moja tu ambalo halikuwa rasmi.
 
Kwani wakenya wangapi wako Tanzania hakuna kiongozi aliyewaambia wananchi wawapige. Kumpiga mtu ni jambo baya. Hakuna mtanzania alisema tuwapige wakenya wanachukua ajira au biashahara zetu
Ndio unafik huo, viongozi wenu wanaibuka na mapya ya kibaguzi dhidi ya wakenya kila siku. Huko usoni wakitabasamu na kutuhadaa kwamba ni wakarimu kupindukia.
 
Usisahau video ya Eric Omondi kuhusu thamani ndogo ya pesa za Kitanzania. Sio la kulipuuzua hata kidogo
Nyuzi kama hizi za kueneza chuki dhidi ya wakenya wanaoishi na kufanya kazi Tz hazihesabiki humu Jf.
>>>https://www.jamiiforums.com/threads/hawa-wakenya-hawana-huruma-tuwakazie.1026274/

Tukio la matamshi ya kichonganishi kutoka kwa mkenya mmoja tu, mbunge wa eneo bunge la Starehe, Mheshimiwa Charles 'Jaguar' Njagua limedhihirisha wazi unafiki wa majirani zetu watanzania.

Tofauti na wakenya na viongozi wao ambao walimkashifu vikali Jaguar kwasababu ya tamko lake. Watanzania huwa wanaona sifa kueneza chuki dhidi ya wakenya.

Rejelea lile tukio la kishetani, la kutia moto vifaranga kutoka Kenya au ngombe wa wafugaji kutoka Kenya walipopigwa mnada. Watanzania walisifia sana hatua hiyo ya rais wao, na sikuwaona wakikemea vikali tukio hilo kama wakenya.

Kwa watz waliowakashifu na kuwakemea wakenya kwa sababu ya tamko la Jaguar, na bado ndio nyinyi tu ambao huwa mnachangia kwenye kueneza chuki dhidi ya wakenya jueni kwamba 'what goes around comes around'. Acheni unafik, badilikeni.
 
Nyuzi kama hizi za kueneza chuki dhidi ya wakenya wanaoishi na kufanya kazi Tz hazihesabiki humu Jf.
>>>https://www.jamiiforums.com/threads/hawa-wakenya-hawana-huruma-tuwakazie.1026274/

Tukio la matamshi ya kichonganishi kutoka kwa mkenya mmoja tu, mbunge wa eneo bunge la Starehe, Mheshimiwa Charles 'Jaguar' Njagua limedhihirisha wazi unafiki wa majirani zetu watanzania.

Tofauti na wakenya na viongozi wao ambao walimkashifu vikali Jaguar kwasababu ya tamko lake. Watanzania huwa wanaona sifa kueneza chuki dhidi ya wakenya.

Rejelea lile tukio la kishetani, la kutia moto vifaranga kutoka Kenya au ngombe wa wafugaji kutoka Kenya walipopigwa mnada. Watanzania walisifia sana hatua hiyo ya rais wao, na sikuwaona wakikemea vikali tukio hilo kama wakenya.

Kwa watz waliowakashifu na kuwakemea wakenya kwa sababu ya tamko la Jaguar, na bado ndio nyinyi tu ambao huwa mnachangia kwenye kueneza chuki dhidi ya wakenya jueni kwamba 'what goes around comes around'. Acheni unafik, badilikeni.

Biashara ya live birds and animals ni controlled business huwezi ukaamka leo unapeleka products zako za live birds and animals nchi nyingine bila kupitia regulatory channels ili ku avoid transmission ya magonjwa from one place to another. Ila la ngombe kutaifishwa hata za watanzania hutaifishwa na serikali kama grazing inafanyika maeneo sio sahihi maana wanyama wanaharibu mazingira sana ndio maana Tanzania kuna dedicated areas kwa malisho ya wanyama.
 
wachaga mabwashe wamejaa sana gikomba hilo sio siri, huwa hawana leseni wengine hata hati za kusafiria zii! sasa tukisema watupishe na sisi wanacchi tumiliki hizi biashara zao shida iko wapi jamani....si hata magu alipiga mnada ngombe za wamaasai kule namanga bila kusahau moto wa vifaranga😀🙄🐸
Wachaga nawakubali-they came,saw and conquered mkikuyu homeground😊
 
Eti kuguswa kidogo? Jiwe amekuwa akiendeleza sera za kibaguzi dhidi ya wakenya tangia siku ya kwanza aliposhika hatamu. Amefanya mengi ambayo sote tunayajua. Ila wakenya wamekuwa wavumilivu kupindukia, sasa jana ilikuwa ni taharuki ya kufa mtu kutoka kwenu. Tena kwasababu ya tamko moja tu ambalo halikuwa rasmi.
Tii sheria bila shuruti
 
Terrorists to you are saints to others.
There is a line between, my friend!
Mtz akiunga mkono ugaidi dhidi ya nchi ya Kenya ni kama nyoka akimeza mkia wake. Mamia ya vijana wa kitz wapo Somalia wakipewa mafunzo na Alshabaab na kupigana pia kwenye vita vya kigaidi visivyowahusu. Alafu sio kama wakenya ambao wakivuka boda kuingia Somalia huwa wanafatiliwa sana na vitengo vya usalama. Serikali yenu haina idea, isipokuwa kujitia hamnazo tu kuhusu vitendo vya hao magaidi kutoka Tanzania.
 
Nyuzi kama hizi za kueneza chuki dhidi ya wakenya wanaoishi na kufanya kazi Tz hazihesabiki humu Jf.
>>>https://www.jamiiforums.com/threads/hawa-wakenya-hawana-huruma-tuwakazie.1026274/

Tukio la matamshi ya kichonganishi kutoka kwa mkenya mmoja tu, mbunge wa eneo bunge la Starehe, Mheshimiwa Charles 'Jaguar' Njagua limedhihirisha wazi unafiki wa majirani zetu watanzania.

Tofauti na wakenya na viongozi wao ambao walimkashifu vikali Jaguar kwasababu ya tamko lake. Watanzania huwa wanaona sifa kueneza chuki dhidi ya wakenya.

Rejelea lile tukio la kishetani, la kutia moto vifaranga kutoka Kenya au ngombe wa wafugaji kutoka Kenya walipopigwa mnada. Watanzania walisifia sana hatua hiyo ya rais wao, na sikuwaona wakikemea vikali tukio hilo kama wakenya.

Kwa watz waliowakashifu na kuwakemea wakenya kwa sababu ya tamko la Jaguar, na bado ndio nyinyi tu ambao huwa mnachangia kwenye kueneza chuki dhidi ya wakenya jueni kwamba 'what goes around comes around'. Acheni unafik, badilikeni.
Unalinganisha thamani ya binadamu na vifaranga vya kuku, acheni unafiki ninyi ,Je nasi tutoe matamshi namna hiyo E, Africa itakalika?
 
Back
Top Bottom