Unafiki wa majirani zetu watanzania

Kupiga moto vifaranga ni ujinga, kupiga mnada ngombe ni upuuzi, kuwaambia wananchi wavamia maduka ya watu wa nchi nyingine na kuwapiga upumbavu wa ajabu na kutafuta justification kuwa watu wanalalamika sana mitandanaoni juu ya maneno ya kuvamia watu na kuwapiga ni unyang'au wa level ya PHD.
 
Magonjwa ya ndege na mifugo kwenye mipaka huwa yanajulikana wazi na kutangazwa na mashirika husika na pia shirika la kitaifa la afya, W.H.O. Huwezi amka ukaibuka na porojo kuhusu magonjwa ya mifugo bila kudhibitisha kutoka kwa mashirika hayo. Mashirika yenu yenyewe hayakudhibitisha kwamba vifaranga mliowatia moto walikuwa na ugonjwa wowote ule.
 
Unalinganisha thamani ya binadamu na vifaranga vya kuku, acheni unafiki ninyi ,Je nasi tutoe matamshi namna hiyo E, Africa itakalika?
Binadamu wangapi wameaga dunia, na vifaranga navyo ni vingapi? Tuanze hapo, ubaguzi ni ubaguzi tu uwe wa kihali ama wa kimali. Matunda yake ni chuki.
 
kiukweli tulipofikia ni wazi kbs mahusiano baina ya izi nchi mbili ni mbovu sanaaa. kuna vitu vingi sanaa vya kisa liti 254 mlifanya dhidi ya 255.mfano sakata la kenya kutoipigia kura 255 iuze shehena ya pembe zake za ndovu + COW mlitaka kui sideline tz + so many others sagas.... mkiguswa kidogo tu mnalia lia naamini tz inaweza kuishi pasipo kenya na wala siamini kenya haiwezi kuishi pasipo 255.
 
Kwa watz waliowakashifu na kuwakemea wakenya kwa sababu ya tamko la Jaguar, na bado ndio nyinyi tu ambao huwa mnachangia kwenye kueneza chuki dhidi ya wakenya jueni kwamba 'what goes
Ulitaka tuachie kuku wagonjwa kisa wanatoka kenya?
 
There is always trade war. It's acceptable, always in reference to maximizing profit over the other. Lakini, kusema tutawapiga! That is insane and less, reasoning failure! Uwapige ili iweje? Ukiwapiga, that is not trade war. It's war!
 
Ni km vile unavyoamini jiwe ni bora hata kuliko wazazi wako katika maisha yako
 
Hawana uwezo hao wa kuishi bila Tanzania, viwanda vyao vinategemea Tanzania kwa ajili ya Mali ghafi, waulize kile Rivatex kitakachotoa ajira 3000, pamba itatoka wapi?
 

Wewe na nani?
 
Nilisema watanzania wanacheza reverse psychology kwa hii maneno ya Jaguar.

They are the biggest culprits, lakini wanataka next time wanadhulumu Wakenya huko Tanzania, waseme kwamba Watanzania wanadhulumiwa vivyo hivyo hapa Kenya.
Dah sio kweli Mr Ken, no kuwadhulumu kisa Jaguar kasema sijui vitu gani, BIG NO. relax bro spread the power of positivity and not the hatred
 
I SEE, this thread is about blames, arguing, accusing aargh, am i the only one seeing this ...may i challenge my Kenyan brother on PES 19 or FIFA 19 . lets stop this behind keyboard hatred for a while ...LET THE TRADE WAR BE ON, but Jaguar slipped he is human being may be KIGEUGEU ila sio kuendeleza vita ya meno hii ....
 

Hilo la ngombe kutaifishwa halijafanyika kwa wakenya peke yao bali hata watanzania, lakini kwa sababu mnatafuta pa kusemea semeni tu lakini ukivunja sheria ichikue mkondo wake. Kuchoma vifaranga nalo vivo hivyo, kuna vitu vingapi tunachoma kutoka china ambavyo ni feki? Kama zilikuwa na dalili za magonjwa ulitak kuueneza Tz? Hata ww ukitaka kusafiri nchi za wenzetu ukigundulika una yellow fever hautakiwi katika hizo nchi.
Maneno mengi mnooo
 
Wakenya kuna mahali mmeshakosea na hamuwezi tena kurekebisha, mnajijua ni wavivu sana nyie na mnapenda kuishi Americans life style na mkiwa tupu mifukoni.

Mmewaachia waTz mipakani mpaka sehemu mbalimbali wamedominate biashara na manataka kuzonduka mkiwa tayari mmeshachelewa.

Kubalini tu hamna la kifanya, endeleeni kumsifu Obama amezaliwaa Kenya
 
Boss you cant be this stupid really, mention jus 3 tanzanian companies in kenya, only 3, wachana na mavibanda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…