Genius uko sahihi kabisa, na mtu ati kujua tofauti kati ya fussion & fission bombs asijifanye kuwa yeye ndiyo yuko current sana na masuala ya kidunia.
Kiduku yeye by and large ali acquire hiyo technology kujihami. Na ni kweli kiduku hayuko driven na itikadi za kidini. Iran pale ni Utawala wa Kitheokrasi ya Kiislamu. Na tusitake kuleta Taqqya zenu za kiislam hapa kama zile za 9/11 ambapo crew walioteka ndege walijulikana kwa majina na Osama akakiri ushawishi wa Alqaida lakini bado the so self proclaimed good muslims bila aibu husema ni mossad ya israel. Quran yenu inasema fight the jews and infidel until they submit to allah or they pay jizzya. Hadith zenu zinasema drive jews and Christians from the Arabian peninsular. Na tumeona tena na tena makundi ya kigaidi yanayotumia quran yanavyowakosesha amani watu.
Tumeshuhudia tena na tena jinsi Iran wanavyosema waziwazi nia yao ya kulifutilia mbali Taifa la Israel. Humu mabarabarani huwa Tunaona Ma Bill Boards yakitangaza Al-Quds. Kwa taarifa yenu yale mabango yanatangaza Azma ya Iran ya Kutwaa JERUSALEM. Kwa Kiarabu Jerusalem ni Al-Quds.
Iran ametumia hila kulizunguka Taifa la Israel na Makundi ya Kigaidi ya Hamas na Hezbollah na yote akayapa msaada wa kuwa na makombora ya kuiangamiza Israel. Alipoona ameshindwa ndiyo sasa mwishoni huku alikuwa anaharakisha apate angalau missiles 9 zenye vichwa vya nuclear ili aiangamize Israel. Maayatollah wenu wangefanikiwa kuwa na hayo makombora hata Saudi Arabia asingekuwa salama maana mashetani hao wangewapa pia mashetani wenzao wa HOUTHIS
Ni kweli kabisa Waislamu wenye siasa kali kama Maayatollah wa Iran hawatakiwi kuwa na Nuclear. Pakistan wenyewe dunia ililala wachina, kwa chuki zao kwa India wakawasaidia kupata nuclear. Lakini hata wao ni wale wale wanaongozwa na shetani
Sikiliza hii video ndiyo utaona kuwa kweli Iran asiruhusiwe kuwa na Nuclear
View: https://youtu.be/xi5Y-pijCvk?si=tX8gN6o4ZATIAs2D