Unafiki wa Mataifa Makubwa Kuhusu Silaha za Nyuklia

Kwa jinsi nilivyokuona na hoja zako negative utazani tunaongealea sijui maandazi hebu rtufunge huu mjadara na wewe huna unachokijua
 
Naona atomic na nuclear hizo terminology zinakuchanganya sana nenda kwanza pitia "The Manhattan Project" Kisha rudi tuendelee kujadili

Au Kwa kukusaidi kidogo, Nuclear ina mabomu aina mbili
I. Atomic bomb (fission) ambalo we ndo unaita la kizamani
ii. Hydrogen bomb (fusion) ambalo ni 1000 ya atomic bomb
Kwahiyo nuclear ni jina la jumla (category) kwa silaha zote zinazotumia nishati ya nyuklia (nuclear energy), iwe kwa kugawanya atomi (fission) au kuziunganisha (fusion).

Kwahiyo wewe unaona dini ndo inaleta itikadi Kali Kwa nchi kutumia nyuklia Hitler alikuwa na dini gani? Kwasababu hata yeye alikuwa na project ya kutengeneza silaha za nyuklia Ili kumaliza vita ya pili ya dunia na alikuwa tishio kubwa Kwa duniani kuliko hata huyo Iran

Naona unatumia neno wameamua kumuacha hao walio amua kumuacha ni kina nani maana unazungumza kama vile Kuna third party anaye regulate hilo ningependa kumjua
 
Yani watu wananishangaza sana wanazani silaha za nuclear ni kama pipi kwa jinsi wanavyo ziongelea na mawazo mgando.

Umoja wa mataifa umeanza mpango wa kuacha kuzitengeneza silaha hizo hatari na hata nchi zenye nguvu wameanza kuzipunguza uwezo wake.
I see. You sound naive, gullible, self-absorbed, mindless information consumer, and mostly obvious, uppity. So, don't make this argument personal because I'd win. I'm kind of civilised these days. You know? Grown up. Attack my argument instead.

Ukiangalia vyanzo vya vita za dunia na vita zote, taking aside all the political mumbo jumbo utagundua chanzo cha yote ni simply, ideologies. I don't like giving classes these days, but I'll indulge your s**t for a moment.

Chanzo cha vita ya kwanza ya dunia kilikuwa, in abbreviation, M.A.I.N. meaning Militarism, Alliances, Imperiasm, and Nationalism. Chanzo cha WW2 kilikuwa by mostly same ideologies obscured by Racial Superiority.

So, deep down, it always leads to the crashing of opposite ideologies. It's human nature. Or maybe Western nature. I rarely consider them as such.

UN kasema hivi mara vile. Seriously? Use your own brain next time. Unbelievable naivety rivalling children's.
 
Hizi porojo porojo tuu, hakuna usawa dunia hii, mwenye check kubwa ndio anaongea na kutoa maamuzi
 
Huwezi kumwamini na nuclear mtu anayeua wanawake kwa sababu hawajavaa hijab au kufunika miili yao
Waislamu ni watu wa Ajabu mno na wamejawa na hila za kishetani. Hivi hawajiulizi kuwa Ingawa Taifa kama Ujerumani ndilo lenye Uchumi mkubwa Europe. Baada ya Kuchafuliwa na Utawala wa Hitler akapokonywa haki zote za Taifa kubwa. Upande wa Pili Taifa walilolipiga France wakaja kuwa na Uwezo wa Kuwa na Nuclear. UK naye akawa na Nuclear. Lakini huwezi sikia Germany anang'ang'ana ati naye awe na Nuclear. Upande wa Far East. Japan wakati wa Vita Kuu ya Pili walikuwa Taifa lenye Nguvu Kijeshi na hata kuna wakati Japan walikuwa wakoloni wa China. Sasa hivi China ana Nuclear lakini huwezi sikia ati Japani anang'ang'ana ati nayeye awe na hizo silaha. Kwanini haya mataifa yakakubali kufuata misimamo hiyo? Ni kwa sababu wanaona kabisa kuwa ikiwezekana lisiwepo taifa lenye Nuclear. Na mbili ni kwa SABABU MATAIFA HAYO SERA ZAO SIYO ZA KIDINI NA HASA SIYO ZA DINI YA SHETANI ALLAH.
Sababu kubwa Iran anang'ang'ana kuwa na Nuclear ni hii hapa:

View: https://youtu.be/xi5Y-pijCvk?si=el_RNBnrk5MwbfYm
 
“utazani”

“mjadara”

Hakika “rtufunge” tu huu “mjadara” 🤣🤣🤣.

Good call, pal.
Baada ya kuona nachat na mbumbumbu mwenye mawazo negative utazani suala la nuclear ni kama maandazi nikawa najiandikia tu chap

unadhani nuclear weapons ni maandazi hivi kwamba ukiamua tu unaenda kununua kwa mama maandazi kuna vitu ukiongea unatia aibu.

mimi naweza kuwa mwalimu wako wa kiswahili baada ya kukuona mbumbumbu nikawa naji tyep tu bila kupitia haraka haraka fuatilia threads zangu sio sijui kuandika utatia aibu
 
ok
 
Umerudi tena? Si ulisema “rtufunge huu mjadara”…..

🤣🤣
 
Umerudi tena? Si ulisema “rtufunge huu mjadara”…..

🤣🤣
Dogo unanivunjia heshima sasa Kama ndio upo hivi sina la kukudai nipo sahihi kusema unauwezo mdogo sana wa elimu. mtu anae jichekesha chekesha bila sababu za msingi sio mzima kichwani.
 
You don't make any sense.

Atomic bomb ni nuclear bomb. Au haukusoma basic physics form 1? Hauwezi kusema Atomic bila kuhusisha na Nuclear.
Kuna type mbili za nuclear bombs. Fission na fusion. Atomic bomb ni nuclear bomb by nuclear fission, while Hydrogen bomb ni nuclear bomb by nuclear fusion. One splits the atom, releasing enormous energy the other fuses the hydrogen isotopes, releasing enormous energy. FYI, H-bombs combine both fission and fusion.

Vilevile, Iran haiwezi kutumia nuclear bombs bila consequences. Sababu kufanya hivyo kutapelekea annihilation yake. That's where ideologies come up.

Humble up.
 
asante sana
 
Dogo unanivunjia heshima sasa Kama ndio upo hivi sina la kukudai nipo sahihi kusema unauwezo mdogo sana wa elimu. mtu anae jichekesha chekesha bila sababu za msingi sio mzima kichwani.
🤣🤣
 
Genius uko sahihi kabisa, na mtu ati kujua tofauti kati ya fussion & fission bombs asijifanye kuwa yeye ndiyo yuko current sana na masuala ya kidunia.
Kiduku yeye by and large ali acquire hiyo technology kujihami. Na ni kweli kiduku hayuko driven na itikadi za kidini. Iran pale ni Utawala wa Kitheokrasi ya Kiislamu. Na tusitake kuleta Taqqya zenu za kiislam hapa kama zile za 9/11 ambapo crew walioteka ndege walijulikana kwa majina na Osama akakiri ushawishi wa Alqaida lakini bado the so self proclaimed good muslims bila aibu husema ni mossad ya israel. Quran yenu inasema fight the jews and infidel until they submit to allah or they pay jizzya. Hadith zenu zinasema drive jews and Christians from the Arabian peninsular. Na tumeona tena na tena makundi ya kigaidi yanayotumia quran yanavyowakosesha amani watu.
Tumeshuhudia tena na tena jinsi Iran wanavyosema waziwazi nia yao ya kulifutilia mbali Taifa la Israel. Humu mabarabarani huwa Tunaona Ma Bill Boards yakitangaza Al-Quds. Kwa taarifa yenu yale mabango yanatangaza Azma ya Iran ya Kutwaa JERUSALEM. Kwa Kiarabu Jerusalem ni Al-Quds.
Iran ametumia hila kulizunguka Taifa la Israel na Makundi ya Kigaidi ya Hamas na Hezbollah na yote akayapa msaada wa kuwa na makombora ya kuiangamiza Israel. Alipoona ameshindwa ndiyo sasa mwishoni huku alikuwa anaharakisha apate angalau missiles 9 zenye vichwa vya nuclear ili aiangamize Israel. Maayatollah wenu wangefanikiwa kuwa na hayo makombora hata Saudi Arabia asingekuwa salama maana mashetani hao wangewapa pia mashetani wenzao wa HOUTHIS
Ni kweli kabisa Waislamu wenye siasa kali kama Maayatollah wa Iran hawatakiwi kuwa na Nuclear. Pakistan wenyewe dunia ililala wachina, kwa chuki zao kwa India wakawasaidia kupata nuclear. Lakini hata wao ni wale wale wanaongozwa na shetani
Sikiliza hii video ndiyo utaona kuwa kweli Iran asiruhusiwe kuwa na Nuclear

View: https://youtu.be/xi5Y-pijCvk?si=tX8gN6o4ZATIAs2D
 
Mkuu nuclear na atomic and Fission na fusion some knows here hili ni jukwaa la kujadili vitu kwa standard.. Hapa tunazungumzia output za Atomic na nuclear in a standard way..
 
Mkuu nuclear na atomic and Fission na fusion some knows here hili ni jukwaa la kujadili vitu kwa standard.. Hapa tunazungumzia output za Atomic na nuclear in a standard way..
Claiming to understand yet here you're making the same mistake the other uncivilised arrogant made before. Sio, Atomic na Nuclear, both ni nuclear, one's identified as Atomic Nuclear Bomb, the other as Hydrogen Nuclear Bomb.

Maana yake Nagasaki na Hiroshima were indeed, nuclear bombs.
 
Kama Iran atathubutu kutumia nuclear. Nini kitakachozuia mataifa mengine kutumia Nuclear kwa Iran?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…