Mpaji Mungu
JF-Expert Member
- Apr 24, 2023
- 13,544
- 43,537
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi ukiulizwa hamas kukomboa maeneo yao, kweli unaweza yataja hayo maeneo yao? Maana baada ya vita ya 1967 israel iliyachukua eneo la gaza na sinai ambayo yote yalikuwaga chini ya Egypt. Baada ya Israel na Egypt kusainiana Aman 1979, Egypt katakata ikakataa kupewa Gaza, wanawajua ushenzi wa wapalestina. Israel ikalikalia eneo hilo hadi 2005 ilipowarudishia wenyewe wapalestina. Sasa ni eneo gani tena wanalotaka kulikomboa?Vita vinavyoendelea mpaka kufikia leo vimepitia hatua nyingi na za wazi.Kila mwenye kuelewa alielewa kilichopangwa kutokea.Hii ni kwa vile vita hivi kati ya Israel na wapalestina vimepiganwa katika namna za kisasa tofauti na vita vilivyotangulia vya mwaka 148 na vile vya Yom Kipur vya mwaka 1973.
Kipigo ilichopata Israel kutoka kwa Hamas oktoba 7 kilikuwa kiko wazi sambamba na hasira za Israel kama ilivyoonekana kupitia viongozi wao wa kisiasa.
Kingine kilichoonekana wazi ni makamio ya kulipiza kisasi na matayarisho yake.Kama ni umuhimu wa kutaka kuwatetea wapalestina basi ulionekana kwa mara nyengine kupitia uungwaji mkono wa makamio ya Israel kutoka kwa mataifa makubwa yenye mafungamano na taifa hilo.
Viongozi wa nchi kadhaa marafiki wa Israel walionekana kuhamanika kwa kwenda huku na huko kwa madhumuni mawili.Kwanz kuiunga mkono Israel kwa maneno na vitendo na upande wa pili kuwasisitiza waungaji mkono wa Palestina kwamba waiingilie katika vita hivyo kwa maelezo kuwa vita hivyo visije vikapanuka na kuwa vita vya eneo zima la mashariki ya kati.
Kwa mtu ambaye hana udhaifu wa kiakili na ambaye si mnafiki basi angekuwa makini kuweka masharti yake ya kujizuia kutoingilia kati huko kulikohimizwa na marafiki wa Israel.
Hayo yote yalikuwa ni maandalizi ya vita.Ilikuwa ni madogo kuliko yale yaliyoanza kuonekana mwanzoni mwa vita na mpaka kufikia leo.
Wakati waislamu wamehimizwa kuhurumiana na kujitolea kuwahami wale madhaifu wanaoonewa.Lakini inaonekana mafunzo hayo yanaingia sikio hili na kutokea sikio la pili.Watu wameuliwa kwa maelfu tena kwa njia mbaya ya kuporomoshewa majengo mazito au kuchomwa na moto wa mabomu.Hayo yote yamefanyika kwa watoto na wanawake zaidi na bado hakukuwatia huruma viongozi hao wa nchi za kiarabu.
Tukiangalia mifano na ukubwa wa unafiki huo tunauona kwa nchi tatu zaidi nazo ni Saudi Arabia,Misri na Jordan
Saudi Arabia : Ipo taarifa kuwa mwanmfalme Mohammed Suleiman mara baada ya kuchukua madaraka aliwahi kuwazodoa Hamas na wapalestina kwa jumla kuwa yanayowakuta ni shauri kwani wanatakiwa kukubaliana na mipango ya Israel
Tangu kuanza kwa vita hivi vya Oktoba 7 wamekuwa wako doro sana katika harakati zao za kuwaunga mkono Hamas katika nia ya kukomboa maeneo yao au angalau kuwakemea Israel wasitekeleze azma yao ya kupambana na Hamas
Katika kiwango cha juu cha unafiki wa Saudi Arabia ni kutungua kombora lililorushwa na Houth wa Yemen hapo juzi likielekea kusini ya Israel.
Jordan: Ni nchi yenye mafungamano ya kidugu zaidi na wapalestina kuliko nchi nyengine yoyote ile kwani 80% ya watu wake wana asili ya Palestina.Zaidi ni kuwa eneo la Jerusalem kwenye msikiti wa tatu kwa utakatifu wa Alaqsa,eneo hilo liliporwa kutoka kwao mwaka 1967.
Vita hivi ingekuwa ni fursa kwao kuwafungulia raia wake kuingia Jerusalem kwa namna yoyote wangeona inafaa.Wangefanya hivyo kama vile ambavyo wayahudi kwa kusaidiwa na jeshi la Israel limetumia fursa ya vita hivi vipya kuendelea kunyang'anya maeneo ya wapalesitna yaliyobaki huku wakiwauwa kwa visingizio mbali mbali na kuwaharibia mali zao.
Misri:Ndio nchi pekee ya kiarabu ambayo imepakana na Gaza.Watu huku wakiangamia kwa kuuliwa lakini pia wamekatiwa mahitajio muhimu ya kibinadamu kama chakula,maji na nishati za umeme na mafuta.
Katika hali hiyo huruma ya kibinadamu tu ingefanya nchi hiyo ifungue mpaka bila kushauriana na yoyote.
Kinyume chake viongozi wa nchi hiyo wamekuwa wakiilaumu Israel kwa kutokuingia kwa misaada iliyorundikana mpaka kama ndio sababu ya mahitaji hayo kutoingia Gaza.
Lawama hiyo imeonekana kama ni kula njama na Israel ili ifanikishe mipango yake kwani kituo cha mpaka wa Rafah hakiko Israel na upekuzi wa malori uliolalamikiwa hufanyika kilomita 62 ndani ya ardhi ya Misri.
Tukiendelea kupembua unafiki wa nchi hizo tunaweza kuwakuta Iran kwa kiasi kidogo na Syria. Mfano Pentagon ya Marekani imesema nchi hiyo iko mbioni kuwapelekea Hizbulah mifumo ya ulinzi wa anga. Kama ni kweli uamuzi huo utakuwa ni wa kushangaza kwani wenyewe wamekuwa wakipigwa na Israel wanavyopenda na bila kuwachokoza.Wangetumia mifumo hiyo kujilinda wenyewe kabla ya kufikiria kuipeleka Lebanon kwa Hizbulah.
ona hii picha yenuVita vinavyoendelea mpaka kufikia leo vimepitia hatua nyingi na za wazi.Kila mwenye kuelewa alielewa kilichopangwa kutokea.Hii ni kwa vile vita hivi kati ya Israel na wapalestina vimepiganwa katika namna za kisasa tofauti na vita vilivyotangulia vya mwaka 148 na vile vya Yom Kipur vya mwaka 1973.

Mnasemaga hapa Marekani hana lolote vitani bila msaada,leo hii mnasema Israel analindwa na Marekani,vipi hii?Myahudi hana jeshi bora! Bali waliyonyuma yake wanaomlinda ni bora. Watu hawamhofii myahudi. Wanahofia waliyo nyuma yake. Wanahofia madhara watakayoyapata.
Ikiwa kama unamfuatilia Israel kwa jicho pevu utagundua ubora wa jeshi la Israel na udhaifu wake pia.
Ghaza haijazingirwa, askari wa uyahudi wapo mbali na mpaka wa Ghaza, isipokuwa magharibi ya ghaza, ndiyo wanajaribu kujisogeza kujisogea lakini wanahofia vita ya uso kwa uso, wakijaribu kutia pua tu wanakumbana na Mashaheed, wanawatokea wazi wazi na silaha zao Made in Ghaza.Vita vinavyoendelea mpaka kufikia leo vimepitia hatua nyingi na za wazi.Kila mwenye kuelewa alielewa kilichopangwa kutokea.Hii ni kwa vile vita hivi kati ya Israel na wapalestina vimepiganwa katika namna za kisasa tofauti na vita vilivyotangulia vya mwaka 148 na vile vya Yom Kipur vya mwaka 1973.
Kipigo ilichopata Israel kutoka kwa Hamas oktoba 7 kilikuwa kiko wazi sambamba na hasira za Israel kama ilivyoonekana kupitia viongozi wao wa kisiasa.
Kingine kilichoonekana wazi ni makamio ya kulipiza kisasi na matayarisho yake.Kama ni umuhimu wa kutaka kuwatetea wapalestina basi ulionekana kwa mara nyengine kupitia uungwaji mkono wa makamio ya Israel kutoka kwa mataifa makubwa yenye mafungamano na taifa hilo.
Viongozi wa nchi kadhaa marafiki wa Israel walionekana kuhamanika kwa kwenda huku na huko kwa madhumuni mawili.Kwanz kuiunga mkono Israel kwa maneno na vitendo na upande wa pili kuwasisitiza waungaji mkono wa Palestina kwamba waiingilie katika vita hivyo kwa maelezo kuwa vita hivyo visije vikapanuka na kuwa vita vya eneo zima la mashariki ya kati.
Kwa mtu ambaye hana udhaifu wa kiakili na ambaye si mnafiki basi angekuwa makini kuweka masharti yake ya kujizuia kutoingilia kati huko kulikohimizwa na marafiki wa Israel.
Hayo yote yalikuwa ni maandalizi ya vita.Ilikuwa ni madogo kuliko yale yaliyoanza kuonekana mwanzoni mwa vita na mpaka kufikia leo.
Wakati waislamu wamehimizwa kuhurumiana na kujitolea kuwahami wale madhaifu wanaoonewa.Lakini inaonekana mafunzo hayo yanaingia sikio hili na kutokea sikio la pili.Watu wameuliwa kwa maelfu tena kwa njia mbaya ya kuporomoshewa majengo mazito au kuchomwa na moto wa mabomu.Hayo yote yamefanyika kwa watoto na wanawake zaidi na bado hakukuwatia huruma viongozi hao wa nchi za kiarabu.
Tukiangalia mifano na ukubwa wa unafiki huo tunauona kwa nchi tatu zaidi nazo ni Saudi Arabia,Misri na Jordan
Saudi Arabia : Ipo taarifa kuwa mwanmfalme Mohammed Suleiman mara baada ya kuchukua madaraka aliwahi kuwazodoa Hamas na wapalestina kwa jumla kuwa yanayowakuta ni shauri kwani wanatakiwa kukubaliana na mipango ya Israel
Tangu kuanza kwa vita hivi vya Oktoba 7 wamekuwa wako doro sana katika harakati zao za kuwaunga mkono Hamas katika nia ya kukomboa maeneo yao au angalau kuwakemea Israel wasitekeleze azma yao ya kupambana na Hamas
Katika kiwango cha juu cha unafiki wa Saudi Arabia ni kutungua kombora lililorushwa na Houth wa Yemen hapo juzi likielekea kusini ya Israel.
Jordan: Ni nchi yenye mafungamano ya kidugu zaidi na wapalestina kuliko nchi nyengine yoyote ile kwani 80% ya watu wake wana asili ya Palestina.Zaidi ni kuwa eneo la Jerusalem kwenye msikiti wa tatu kwa utakatifu wa Alaqsa,eneo hilo liliporwa kutoka kwao mwaka 1967.
Vita hivi ingekuwa ni fursa kwao kuwafungulia raia wake kuingia Jerusalem kwa namna yoyote wangeona inafaa.Wangefanya hivyo kama vile ambavyo wayahudi kwa kusaidiwa na jeshi la Israel limetumia fursa ya vita hivi vipya kuendelea kunyang'anya maeneo ya wapalesitna yaliyobaki huku wakiwauwa kwa visingizio mbali mbali na kuwaharibia mali zao.
Misri:Ndio nchi pekee ya kiarabu ambayo imepakana na Gaza.Watu huku wakiangamia kwa kuuliwa lakini pia wamekatiwa mahitajio muhimu ya kibinadamu kama chakula,maji na nishati za umeme na mafuta.
Katika hali hiyo huruma ya kibinadamu tu ingefanya nchi hiyo ifungue mpaka bila kushauriana na yoyote.
Kinyume chake viongozi wa nchi hiyo wamekuwa wakiilaumu Israel kwa kutokuingia kwa misaada iliyorundikana mpaka kama ndio sababu ya mahitaji hayo kutoingia Gaza.
Lawama hiyo imeonekana kama ni kula njama na Israel ili ifanikishe mipango yake kwani kituo cha mpaka wa Rafah hakiko Israel na upekuzi wa malori uliolalamikiwa hufanyika kilomita 62 ndani ya ardhi ya Misri.
Tukiendelea kupembua unafiki wa nchi hizo tunaweza kuwakuta Iran kwa kiasi kidogo na Syria. Mfano Pentagon ya Marekani imesema nchi hiyo iko mbioni kuwapelekea Hizbulah mifumo ya ulinzi wa anga. Kama ni kweli uamuzi huo utakuwa ni wa kushangaza kwani wenyewe wamekuwa wakipigwa na Israel wanavyopenda na bila kuwachokoza.Wangetumia mifumo hiyo kujilinda wenyewe kabla ya kufikiria kuipeleka Lebanon kwa Hizbulah.
Kwanza nikuambie tu ukiacha hiyo vita ya mwarabu na myahud kuna vita ya chinichini ya msuni na mshia so kuna namna wenye kuona mbali hapo kwenye hizo tawala wanahic hata mwiisrael akishindwa yataibuka makundi yenye itikad kali kama Muslim brotherhood na ushia ukapata nguvu hilo eneo pia so wanachofanya ni kuibana Israel ili yatokee mataifa mawili pawe salama.Vita vinavyoendelea mpaka kufikia leo vimepitia hatua nyingi na za wazi.Kila mwenye kuelewa alielewa kilichopangwa kutokea.Hii ni kwa vile vita hivi kati ya Israel na wapalestina vimepiganwa katika namna za kisasa tofauti na vita vilivyotangulia vya mwaka 148 na vile vya Yom Kipur vya mwaka 1973.
Kipigo ilichopata Israel kutoka kwa Hamas oktoba 7 kilikuwa kiko wazi sambamba na hasira za Israel kama ilivyoonekana kupitia viongozi wao wa kisiasa.
Kingine kilichoonekana wazi ni makamio ya kulipiza kisasi na matayarisho yake.Kama ni umuhimu wa kutaka kuwatetea wapalestina basi ulionekana kwa mara nyengine kupitia uungwaji mkono wa makamio ya Israel kutoka kwa mataifa makubwa yenye mafungamano na taifa hilo.
Viongozi wa nchi kadhaa marafiki wa Israel walionekana kuhamanika kwa kwenda huku na huko kwa madhumuni mawili.Kwanz kuiunga mkono Israel kwa maneno na vitendo na upande wa pili kuwasisitiza waungaji mkono wa Palestina kwamba waiingilie katika vita hivyo kwa maelezo kuwa vita hivyo visije vikapanuka na kuwa vita vya eneo zima la mashariki ya kati.
Kwa mtu ambaye hana udhaifu wa kiakili na ambaye si mnafiki basi angekuwa makini kuweka masharti yake ya kujizuia kutoingilia kati huko kulikohimizwa na marafiki wa Israel.
Hayo yote yalikuwa ni maandalizi ya vita.Ilikuwa ni madogo kuliko yale yaliyoanza kuonekana mwanzoni mwa vita na mpaka kufikia leo.
Wakati waislamu wamehimizwa kuhurumiana na kujitolea kuwahami wale madhaifu wanaoonewa.Lakini inaonekana mafunzo hayo yanaingia sikio hili na kutokea sikio la pili.Watu wameuliwa kwa maelfu tena kwa njia mbaya ya kuporomoshewa majengo mazito au kuchomwa na moto wa mabomu.Hayo yote yamefanyika kwa watoto na wanawake zaidi na bado hakukuwatia huruma viongozi hao wa nchi za kiarabu.
Tukiangalia mifano na ukubwa wa unafiki huo tunauona kwa nchi tatu zaidi nazo ni Saudi Arabia,Misri na Jordan
Saudi Arabia : Ipo taarifa kuwa mwanmfalme Mohammed Suleiman mara baada ya kuchukua madaraka aliwahi kuwazodoa Hamas na wapalestina kwa jumla kuwa yanayowakuta ni shauri kwani wanatakiwa kukubaliana na mipango ya Israel
Tangu kuanza kwa vita hivi vya Oktoba 7 wamekuwa wako doro sana katika harakati zao za kuwaunga mkono Hamas katika nia ya kukomboa maeneo yao au angalau kuwakemea Israel wasitekeleze azma yao ya kupambana na Hamas
Katika kiwango cha juu cha unafiki wa Saudi Arabia ni kutungua kombora lililorushwa na Houth wa Yemen hapo juzi likielekea kusini ya Israel.
Jordan: Ni nchi yenye mafungamano ya kidugu zaidi na wapalestina kuliko nchi nyengine yoyote ile kwani 80% ya watu wake wana asili ya Palestina.Zaidi ni kuwa eneo la Jerusalem kwenye msikiti wa tatu kwa utakatifu wa Alaqsa,eneo hilo liliporwa kutoka kwao mwaka 1967.
Vita hivi ingekuwa ni fursa kwao kuwafungulia raia wake kuingia Jerusalem kwa namna yoyote wangeona inafaa.Wangefanya hivyo kama vile ambavyo wayahudi kwa kusaidiwa na jeshi la Israel limetumia fursa ya vita hivi vipya kuendelea kunyang'anya maeneo ya wapalesitna yaliyobaki huku wakiwauwa kwa visingizio mbali mbali na kuwaharibia mali zao.
Misri:Ndio nchi pekee ya kiarabu ambayo imepakana na Gaza.Watu huku wakiangamia kwa kuuliwa lakini pia wamekatiwa mahitajio muhimu ya kibinadamu kama chakula,maji na nishati za umeme na mafuta.
Katika hali hiyo huruma ya kibinadamu tu ingefanya nchi hiyo ifungue mpaka bila kushauriana na yoyote.
Kinyume chake viongozi wa nchi hiyo wamekuwa wakiilaumu Israel kwa kutokuingia kwa misaada iliyorundikana mpaka kama ndio sababu ya mahitaji hayo kutoingia Gaza.
Lawama hiyo imeonekana kama ni kula njama na Israel ili ifanikishe mipango yake kwani kituo cha mpaka wa Rafah hakiko Israel na upekuzi wa malori uliolalamikiwa hufanyika kilomita 62 ndani ya ardhi ya Misri.
Tukiendelea kupembua unafiki wa nchi hizo tunaweza kuwakuta Iran kwa kiasi kidogo na Syria. Mfano Pentagon ya Marekani imesema nchi hiyo iko mbioni kuwapelekea Hizbulah mifumo ya ulinzi wa anga. Kama ni kweli uamuzi huo utakuwa ni wa kushangaza kwani wenyewe wamekuwa wakipigwa na Israel wanavyopenda na bila kuwachokoza.Wangetumia mifumo hiyo kujilinda wenyewe kabla ya kufikiria kuipeleka Lebanon kwa Hizbulah.
Ghaza haijazingirwa, askari wa uyahudi wapo mbali na mpaka wa Ghaza, isipokuwa magharibi ya ghaza, ndiyo wanajaribu kujisogeza kujisogea lakini wanahofia vita ya uso kwa uso, wakijaribu kutia pua tu wanakumbana na Mashaheed, wanawatokea wazi wazi na silaha zao Made in Ghaza.
Sasa hivi natazama hilo najionea hapa wanalichambuwa kutokea Ghaza:
View: https://youtu.be/I_pyZhawj3I?si=jMycSNj5usDRmTj8
Tovuti ya Al-Arabi: Jeshi la uvamizi limeshindwa kabisa kufanya uvamizi wowote katika Ukanda wa Gaza na hasara zake ni kubwa kuliko kile inachotangazaMtaalamu wa masuala ya usalama na mikakati Ahmed Abdel Rahman kutoka Ramallah amesema kuwa uvamizi huo, licha ya kuwasili kwa uchokozi wake kwa siku 29, haukuweza kupenya kwa ardhi isipokuwa kwa umbali usiozidi makumi au mamia ya mita, ambapo vikosi vya uvamizi vinakutana usoni mwao wapinzani ambao wanakabiliana na majaribio yote, ambapo mapigano yanaendelea kufanywa upya na kila jaribio la jeshi la uvamizi, na kuongeza kuwa uvamizi huo ulipata hasara kubwa kuliko ile iliyotangazwa na maafisa waandamizi katika jeshi la Israeli, ambayo hujibu kwa makombora na gesi za wazimu. Lengo lake pekee ni kuharibu Ukanda wa Gaza na kutekeleza sera ya ardhi iliyochomwa. Fuata habari maarufu zaidi na maendeleo ya hivi karibuni katika matukio ya Kiarabu na kimataifa, kupitia matangazo ya moja kwa moja ya Al-Araby TV kwenye YouTube
Kwani ubora unashindanishwa vipi?Mnasemaga hapa Marekani hana lolote vitani bila msaada,leo hii mnasema Israel analindwa na Marekani,vipi hii?
Ni kweli kabisa.Israel anaweza akaonekana mwamba sasa lakini baada ya muda akawa mboga.Kwani ubora unashindanishwa vipi?
Ubora unashindanishwa kwa unayepambana naye.
B anaweza akawa mnyonge kwa A lakini ni mwamba kwa C.
Kwa jumuia ya waarabu Amerika ni mwamba. Lakini kwa wengine Amerika anatulia.