Unafiki wa nchi za kiarabu ndio uliowezesha kuzingirwa kwa Gaza

Nashukuru Mungu amekufungua fahamu Alwaz unaanza kuja kuja kidogo, katika hii vitaaa Israel atapoteza rasilimali nyingi kuanzia Watu hadi vitendea kazi lkn watatimiza malengo yao na Gaza wataichukua
 
Hivi ukiulizwa hamas kukomboa maeneo yao, kweli unaweza yataja hayo maeneo yao? Maana baada ya vita ya 1967 israel iliyachukua eneo la gaza na sinai ambayo yote yalikuwaga chini ya Egypt. Baada ya Israel na Egypt kusainiana Aman 1979, Egypt katakata ikakataa kupewa Gaza, wanawajua ushenzi wa wapalestina. Israel ikalikalia eneo hilo hadi 2005 ilipowarudishia wenyewe wapalestina. Sasa ni eneo gani tena wanalotaka kulikomboa?
UKWELI NI KWAMBA HAMAS wanabigana VITA YA KIDINI AMBAPO mtume mohammad ktk sahih musilim hadith 2922 anawaambia kiyama haitakuja mpaka wamewaua wayahudi wote. Na nyinyi waislam mnaitaka sana hiyo siku ije na mnataka kufia imani yenu ili muende mbinguni jennah mkapatiwe wale MABIKIRA 72-jinsi manavyopenda ngono!
 
Ona
ona hii picha yenu
 
Mnasemaga hapa Marekani hana lolote vitani bila msaada,leo hii mnasema Israel analindwa na Marekani,vipi hii?
 
QUOTE="ANTDOTE, post: 48333641, member: 730526"]
Hamasi haiwakilishi Wapalestina. Ni kundi tu la Magaidi.
[/QUO
Uongo, ni kundi la waparestina wanaotetea ardhi yao
 
Ghaza haijazingirwa, askari wa uyahudi wapo mbali na mpaka wa Ghaza, isipokuwa magharibi ya ghaza, ndiyo wanajaribu kujisogeza kujisogea lakini wanahofia vita ya uso kwa uso, wakijaribu kutia pua tu wanakumbana na Mashaheed, wanawatokea wazi wazi na silaha zao Made in Ghaza.

Sasa hivi natazama hilo najionea hapa wanalichambuwa kutokea Ghaza:


View: https://youtu.be/I_pyZhawj3I?si=jMycSNj5usDRmTj8
‎Tovuti ya Al-Arabi: Jeshi la uvamizi limeshindwa kabisa kufanya uvamizi wowote katika Ukanda wa Gaza na hasara zake ni kubwa kuliko kile inachotangazaMtaalamu wa masuala ya usalama na mikakati Ahmed Abdel Rahman kutoka Ramallah amesema kuwa uvamizi huo, licha ya kuwasili kwa uchokozi wake kwa siku 29, haukuweza kupenya kwa ardhi isipokuwa kwa umbali usiozidi makumi au mamia ya mita, ambapo vikosi vya uvamizi vinakutana usoni mwao wapinzani ambao wanakabiliana na majaribio yote, ambapo mapigano yanaendelea kufanywa upya na kila jaribio la jeshi la uvamizi, na kuongeza kuwa uvamizi huo ulipata hasara kubwa kuliko ile iliyotangazwa na maafisa waandamizi katika jeshi la Israeli, ambayo hujibu kwa makombora na gesi za wazimu. Lengo lake pekee ni kuharibu Ukanda wa Gaza na kutekeleza sera ya ardhi iliyochomwa. Fuata habari maarufu zaidi na maendeleo ya hivi karibuni katika matukio ya Kiarabu na kimataifa, kupitia matangazo ya moja kwa moja ya Al-Araby TV kwenye YouTube
 
Kwanza nikuambie tu ukiacha hiyo vita ya mwarabu na myahud kuna vita ya chinichini ya msuni na mshia so kuna namna wenye kuona mbali hapo kwenye hizo tawala wanahic hata mwiisrael akishindwa yataibuka makundi yenye itikad kali kama Muslim brotherhood na ushia ukapata nguvu hilo eneo pia so wanachofanya ni kuibana Israel ili yatokee mataifa mawili pawe salama.
 
Vizuri sana dada Faiza kwa kutuchomolea habari ambazo huwa hazizulika kupenya.Hapo zamani ilikuwa adui anapiga na kujitangazia ushindi peke yake.
Nimeona hiyo channel ambayo ni ya juzi kabisa.Jamaa anajiamini kusema jeshi la Israel halijaweza kuingia Gaza kwa miguu kutokana na hasara waliyoipata.
Unafiki wa nchi za kiarabu unawarudisha nyuma.Lakini ushindi wa kweli utakuja bila msaada wao.Na wao adhabu zao zinawasubiri.
 
Mnasemaga hapa Marekani hana lolote vitani bila msaada,leo hii mnasema Israel analindwa na Marekani,vipi hii?
Kwani ubora unashindanishwa vipi?

Ubora unashindanishwa kwa unayepambana naye.

B anaweza akawa mnyonge kwa A lakini ni mwamba kwa C.

Kwa jumuia ya waarabu Amerika ni mwamba. Lakini kwa wengine Amerika anatulia.
 
Kwani ubora unashindanishwa vipi?

Ubora unashindanishwa kwa unayepambana naye.

B anaweza akawa mnyonge kwa A lakini ni mwamba kwa C.

Kwa jumuia ya waarabu Amerika ni mwamba. Lakini kwa wengine Amerika anatulia.
Ni kweli kabisa.Israel anaweza akaonekana mwamba sasa lakini baada ya muda akawa mboga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…