Unafiki wa Wabunge kufoka, kukemea na kujifanya wako siriasi kuisimamia Serikali

Lingekuwa zimwi wala lisingekufa, Mazimwi upo nayo ndiyo hayo hayo yanayogawana mali za nchi, na ndiyo hayo hayo yanayopeana madaraka kama kupeana njugu tu

Niamini Mazimwi unaishi nayo na utayapata kura uchaguzi ujao kwa sababu wewe ni zuzu wahed
Bring back ur senses Magufuli sio baba yako, uchaguzi wa 2020 kwanza ndio msingi wa kifo chake alijitakia usicheze na Mungu nae bila kuchelewa akamchukua kawaacha majaliwa na wenzie wanakula bata
 
Tatizo umepanic kwa unazi wa Magufuli, Magufuli alikuwa shetani kwenye uchaguzi wa 2020 ndiomana Yuko chini ya madongo huko anakula jeuri yake
 
rudia kusoma umeandika nini, km vp kagombee wewe tukusike siyo kujificha nyuma ya keyboard we kenge. Ulitaka wakae kimya? Mijitu mingine bwana
 
Magufuli anahusika Kwa wizi wa kura alifanya ubabe ili akina Zitto , mbowe, mnyika, Lema na wengine wasipate ubunge kwenye hilo Magufuli aendelee kuungua moto wa ahera
Ahera hakuna moto. Moto upo jehanamu.
 
Hawa wajinga wameona uchaguzi unakaribia wanaanza kujibebisha kwetu ili tuwaone ni wenzetu. Itapendeza sana kama hawa wabunge wote wa bunge hili watapigwa chini wasirudi tena 2025,itatuheshimisha sana watanzania maana dunia inatucheka sana.
 
Matatizo yetu tunayo shuhudia ni ukosefu wa Katiba Bora yenye Taasisi Imara na Bora na ukiongezea Tume Huru na Haki ya Uchaguzi. Wanunge hao uchwara huwezi sikia wanajadili jambo la msingi kama hilo na wengine wanao pendekeza adhabu ya kifo wakiwa wezi wa mali za umma na wezi wa kura! Vikelele vyao nao wafikiriwe wasogee meza kuu kutafuna. Hakuna mzalendo hata mmoja hapo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…