Unafiki wa Wabunge kufoka, kukemea na kujifanya wako siriasi kuisimamia Serikali

Lingekuwa zimwi wala lisingekufa, Mazimwi upo nayo ndiyo hayo hayo yanayogawana mali za nchi, na ndiyo hayo hayo yanayopeana madaraka kama kupeana njugu tu

Niamini Mazimwi unaishi nayo na utayapata kura uchaguzi ujao kwa sababu wewe ni zuzu wahed
Bring back ur senses Magufuli sio baba yako, uchaguzi wa 2020 kwanza ndio msingi wa kifo chake alijitakia usicheze na Mungu nae bila kuchelewa akamchukua kawaacha majaliwa na wenzie wanakula bata
 
Wezi wapo hawajafa na kwa ufala wako unawalamba visigino, unawaogopa kuliko hata unavyomuogopa shetwain, na kwa ufala wako una ujasiri wa kumlaumu mtu aliyekufa hahahaaa utapiga kelele kutwa nzima ukimlaumu Magufuli ila wapigaji watakuvyonza na utabaki hohehahe fala wahed.
Tatizo umepanic kwa unazi wa Magufuli, Magufuli alikuwa shetani kwenye uchaguzi wa 2020 ndiomana Yuko chini ya madongo huko anakula jeuri yake
 
Wabunge wetu wanatuona sisi wajinga. Juzi tu wamepitisha mafao ya wasiostahili kulipwa na kimsingi hao waajiriwa na hawana mkataba na wananchi kikatiba.

Wiki hii wanajifanya wanaropokwa kwa uchungu, hawa wanafiki wanaotaka kuuza sura huku mwishoni kuwasahaulisha Raia na uzuzu wao wa kushindwa kuisimamia na kuishauri na kukemea pale inapobidi.

Sakata la report ya Mkaguzi Mkuu wa hesabu za Serikali inatumika nyakati hizi kujikosha.

Awamu hii Raia hawadanganyiki hao wabunge uchwara ambao ni zao la uhuni wa kipumbavu wa utawala na malengo ovu ya Magufuli 2025 ni hukumu takatifu.

Nyakati hizi amsha amsha za kishamba huko bungeni tunazipuuza mwanzo mwisho.

Joto lao baridi yetu.

Wadiz.
rudia kusoma umeandika nini, km vp kagombee wewe tukusike siyo kujificha nyuma ya keyboard we kenge. Ulitaka wakae kimya? Mijitu mingine bwana
 
Magufuli anahusika Kwa wizi wa kura alifanya ubabe ili akina Zitto , mbowe, mnyika, Lema na wengine wasipate ubunge kwenye hilo Magufuli aendelee kuungua moto wa ahera
Ahera hakuna moto. Moto upo jehanamu.
 
Wabunge wetu wanatuona sisi wajinga. Juzi tu wamepitisha mafao ya wasiostahili kulipwa na kimsingi hao waajiriwa na hawana mkataba na wananchi kikatiba.

Wiki hii wanajifanya wanaropokwa kwa uchungu, hawa wanafiki wanaotaka kuuza sura huku mwishoni kuwasahaulisha Raia na uzuzu wao wa kushindwa kuisimamia na kuishauri na kukemea pale inapobidi.

Sakata la report ya Mkaguzi Mkuu wa hesabu za Serikali inatumika nyakati hizi kujikosha.

Awamu hii Raia hawadanganyiki hao wabunge uchwara ambao ni zao la uhuni wa kipumbavu wa utawala na malengo ovu ya Magufuli 2025 ni hukumu takatifu.

Nyakati hizi amsha amsha za kishamba huko bungeni tunazipuuza mwanzo mwisho.

Joto lao baridi yetu.

Wadiz.
Hawa wajinga wameona uchaguzi unakaribia wanaanza kujibebisha kwetu ili tuwaone ni wenzetu. Itapendeza sana kama hawa wabunge wote wa bunge hili watapigwa chini wasirudi tena 2025,itatuheshimisha sana watanzania maana dunia inatucheka sana.
 
Wabunge wetu wanatuona sisi wajinga. Juzi tu wamepitisha mafao ya wasiostahili kulipwa na kimsingi hao waajiriwa na hawana mkataba na wananchi kikatiba.

Wiki hii wanajifanya wanaropokwa kwa uchungu, hawa wanafiki wanaotaka kuuza sura huku mwishoni kuwasahaulisha Raia na uzuzu wao wa kushindwa kuisimamia na kuishauri na kukemea pale inapobidi.

Sakata la report ya Mkaguzi Mkuu wa hesabu za Serikali inatumika nyakati hizi kujikosha.

Awamu hii Raia hawadanganyiki hao wabunge uchwara ambao ni zao la uhuni wa kipumbavu wa utawala na malengo ovu ya Magufuli 2025 ni hukumu takatifu.

Nyakati hizi amsha amsha za kishamba huko bungeni tunazipuuza mwanzo mwisho.

Joto lao baridi yetu.

Wadiz.
Matatizo yetu tunayo shuhudia ni ukosefu wa Katiba Bora yenye Taasisi Imara na Bora na ukiongezea Tume Huru na Haki ya Uchaguzi. Wanunge hao uchwara huwezi sikia wanajadili jambo la msingi kama hilo na wengine wanao pendekeza adhabu ya kifo wakiwa wezi wa mali za umma na wezi wa kura! Vikelele vyao nao wafikiriwe wasogee meza kuu kutafuna. Hakuna mzalendo hata mmoja hapo.
 
Back
Top Bottom