Unafiki wa wala nchi hii: Mkutano wa TEHAMA umekwisha na maazimio ya kinafiki

CHIZI VITABU

JF-Expert Member
Joined
Jun 12, 2021
Posts
1,061
Reaction score
2,477
Limkutano huko Arusha lilikuwa na mbwembwe kwelikweli aisee yaani nimekaaa hapa natengeneza apps fulani bando limeisha kabisa kushoto kulia hata buku 3 ya kupata gb 2 sina niweze kuchukua baadhi ya vitu online na kucheki tutorials

Ama kweli hili li nchi nuksi sana , walivyokuwa wanajiliza machozi ya mamba eti Tehama ikitumiwa vizuri itatoa ajira na kupaisha uchumi kumbe uchumi wa familia zao na matumbo yao , aisee wanatia hasira sana

Hayaaaaa bana ETI TEHAMA BONGO..TEHAMA MY FOOT

SERIOUSLY HATA BANDO LA USIKU MMETOA????? NA MAMKAMUPNI YOTE YANAFANANA VIFURUSHI ILI TUKOSE PA KUKIMBILIA??? MBONA LAKINI HAYA MAMTU YANA ROHO MBAYA HIVI???
 
Punguza hasira na mihemuko, tulia mkuu uandike kinachoeleweka. Sio wote tupo ulipo.
Mkuu watu tunajiajiri kutengeneza apps za simu na zagazaga nyingine za creativity sometimes tunabahatisha hata kufanya kazi na watu wa abroad kupitia INTERNET lakini majitu yenye roho mbaya yameifanya internet kuwa anasa na majuzi yalikuwa Arusha kwenye mkutano wa Tehama yakila mbuzi na kushushia beer huku yakijifanya yanaipenda sana teknolojia na kutaka Tehama isaidie watu kujiajiri
 
Huo ni ukweli kuna vijana hapa nchini wenye utaalam lakini wanabaniwa hawapewi nafasi ya kuonesha creativty yao kwenye TEHAMA!!! Mmebakia na hao wanaojidai wanajua na kujitangaza huku mkiwazibia vijana wenye vipaji ambao wanaweza kusaidia nchi katika nyanja nyingi moja wapo ni katika kukusanya mapato ya serikali!!!
 
Najisikia unyonge sana hapa yaani hata nachat kwa freebasics ,we are busy trying to keep up with the technology hata kwa kupitia tutorials za you tube ila dah walaaniwe sana hawa watu,gb 2 kwa buku tatu?
 
Pole rafiki angu
 
Limkutano huko Arusha lilikuwa na mbwembwe kwelikweli aisee yaani nimekaaa hapa natengeneza apps fulani bando limeisha kabisa kushoto kulia hata buku 3 ya kupata gb 2 sina niweze kuchukua baadhi ya vitu online na kucheki tutorials

Ama kweli hili li nchi nuksi sana , walivyokuwa wanajiliza machozi ya mamba eti Tehama ikitumiwa vizuri itatoa ajira na kupaisha uchumi kumbe uchumi wa familia zao na matumbo yao , aisee wanatia hasira sana

Hayaaaaa bana ETI TEHAMA BONGO..TEHAMA MY FOOT

SERIOUSLY HATA BANDO LA USIKU MMETOA????? NA MAMKAMUPNI YOTE YANAFANANA VIFURUSHI ILI TUKOSE PA KUKIMBILIA??? MBONA LAKINI HAYA MAMTU YANA ROHO MBAYA HIVI???

Nakuelewa pole sana
 
Maazimio yapi hayo mleta mada,mbona kama umeandika kichukichuki bila hoja za maana?
 
Back
Top Bottom