Hapa Duniani kuna Mambo Magumu sana kuyaelewa!
Miongoni mwa mambo magumu kuyaelewa ni unafiki wa binadam juu ya binadam mwenzake!
Watu wale wale wanaomzodoa Job Ndugai ni hao hao wa kwanza kushika MAIKI Kumpamba kwa sifa kedekede siku Akifa!
Utawasikia wakisema haya!
1. Inchi imepoteza kiongozi mhimu sana ambaye bado taifa lilimtegemea
2. Ndugai alikuwa spika wa mfano, alisimamia maslahi ya wananchi kwa weledi mkubwa
3. Alikuwa muungwana na mnyenyekevu hata pale alipotofautiana na wenzake
4. Alikuwa mwalimu bora sana kwa wanasiasa, baadhi yao watasema hata kawalea na kuwakuza kisiasa
5. Watasema ndugai alikuwa na moyo wa kizalendo sana
6. Watasema Ndugai hakupenda kuona mwanasiasa anaonewa ndani ya chama chake hata inje ya chama chake kiasi cha kuwakingia kifua wabunge wa covid 19
Mtu aliyetubu na kusema kakosa yeye, kakosa sana , kakosa mno! Ubaya wake uko wapi?
Kwani kusema inchi itauzwa kwa mikopo hoja yake inaubaya gani!? Kwanini asijibiwe hoja kwa hoja?
Wangapi mnakumbuka Sakata la kushikiliwa ndege kwasababu mikopo?
Wangapi mnakumbuka yule mkulima south afrika aliyeshikilia ndege kudai malipo yake?
Kama hayo yaliwezekana, Kwanini hoja ya spika isipewe kipaumbele sasa kuliko tunavyomzodoa?
Kukopa kupo sawa, lakini je pesa ya mkopo inatumikaje?
Nia ya wakopaji ni njema, tatizo Matumizi ndiyo huzalisha kizaazaa!
Ni sawa na mzazi ukope pesa dhamana nyumba halafu Ukaitapanye na kuhonga nyumba ndogo pamoja kulewa na chenji kidogo ndo udanganyie watoto wa nyumba kubwa kwamba unawekeza kwa maendeleo, Mtoto wako mkubwa akisema BABA TUSIPOKUWA MAKINI na mikopo nyumba yetu hii siku itauzwa!
Badala ya kudadavua matumizi yako ya pombe, wewe unapaniki na Kumtimua mtoto kwa kumpakazia kwamba Balehe inamsumbua anataka Awe baba wa nyumba!
Spika alishindwa tu kuweka wazi HOJA KUBWA NI KWAMBA PESA ZA MKOPO ZIMEGAWIWA KWENDA ZANZIBAR KWA KIWANGO KINGI KULIKO UTARATIBU UNAVYOTAKA ZANZIBAR IPEWE! hivyo pesa nyingi iliyokwenda Zanzibar mzigo ataubeba mtanganyika
Kosa la ndugai ni lipi kuhoji matumizi ya mkopo?