Unafiki wa walimwengu walewale waliomzodoa Spika Ndugai siku akifa watamwagia sifa kedekede

Nashindwa hata nicoment kipi ila upo vizuri kwenye uchambuzi
 
Ndugai ni dhaifu sana atakubali vipi kujiuzulu kirahisi
Waziri Gwajima kakomaa na nafasi yake Ndugai kashindwaje
 
Ndugai ni dhaifu sana atakubali vipi kujiuzulu kirahisi
Waziri Gwajima kakomaa na nafasi yake Ndugai kashindwaje
Huyo mama baraza jipya hatakuwemo
 
Mkuu kama wewe unaamini kwenye Mungu huwezi shangaa hilo, marehemu asemwi kwa mabaya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…