Unafiki wa wanasheria wa Tanzania

Na huyo Mwinyi wa Zanzibar si amemaliza 10 yake ya kikatiba?

Vipi Tena hiyo Mitano kuwa 15,?

Kweli CCM kimekuwa chama Cha mambumbuzikama yule mgeni aliyo kitamka
Mwinyi wa Zanzibar huu ni mhula wa kwanza wa miaka mitano- anastahili mitano tena
 
Ni sehemu gani ya Katiba ya CCM (au Kanuni za CCM za Uongozi na Maadili) inasema kwamba Rais aliyeko madarakani apitishwe kinyemela kugombea nafasi ya Rais kwa mara ya pili?
Mkuu kwenye katiba ya CCM hayo unayoyataka hayamo; kwenye kanuni hayamo; hayako kokote.
Mimi nimekuwekea ibara kujenga hoja yangu- wewe poyoyo unaleta hoja hapa bila rejeo na vifungu husika!?
 
Ujinga haufutwi kwa dakika moja, kufuta ujinga ni mchakato na sasa huenda umekwisha kuwa mwehu!
Ujinga ni kutojua baada ya kujua unakuwa si mjinga tena
 
Nafikiri changamoto inayosumbua siyo uhalali wa rais Mama Samia kugombea bali taratibu za kisiasa zinazotumika.
Haki ya kikatiba na kisheria kugombea anayo.
 
Hii ni sawa na enzi zile ukienda dukani kununua sabuni taka usitake unaambatanishiwa na pini ya kutolea funza
 
Umbwa wewe huna mbele Wala nyumba mama katokea wapi hapa wewe umbwa?
Mama yako na wewe mmgekuwa kuku- yai lako lisingetotolewa

Hussein Ali Mwinyi (amezaliwa 23 Desemba 1966) ni tabibu na mwanasiasa nchini Tanzania aliyechaguliwa kuwa rais wa Zanzibar katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2020.

Baada ya kipindi cha kazi ya tiba aliingia katika siasa kwa kuchaguliwa mbunge wa Mkuranga (Mkoa wa Pwani) mwaka 2000[1] akaendelea kugombea na kuchaguliwa bungeni katika jimbo la Kwahani (Zanzibar) tangu mwaka 2005.[2] Anatokea katika chama cha CCM. Mwaka 2000 akateuliwa kuwa waziri katika serikali ya Tanzania alipokuwa naibu waziri ya afya mwaka 2000-2005, halafu Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais kwa mambo ya Muungano 2006 - 2008, Waziri wa Ulinzi mwaka 2008- 2012 na tena 2014 hadi 2020. Mwaka 2012 hadi 2014 alikuwa Waziri wa Afya.
 
Wewe sigara kali ndondocha
Hussein Ali Mwinyi (amezaliwa 23 Desemba 1966) ni tabibu na mwanasiasa nchini Tanzania aliyechaguliwa kuwa rais wa Zanzibar katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2020.

Baada ya kipindi cha kazi ya tiba aliingia katika siasa kwa kuchaguliwa mbunge wa Mkuranga (Mkoa wa Pwani) mwaka 2000[1] akaendelea kugombea na kuchaguliwa bungeni katika jimbo la Kwahani (Zanzibar) tangu mwaka 2005.[2] Anatokea katika chama cha CCM. Mwaka 2000 akateuliwa kuwa waziri katika serikali ya Tanzania alipokuwa naibu waziri ya afya mwaka 2000-2005, halafu Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais kwa mambo ya Muungano 2006 - 2008, Waziri wa Ulinzi mwaka 2008- 2012 na tena 2014 hadi 2020. Mwaka 2012 hadi 2014 alikuwa Waziri wa Afya.
 
Nafikiri changamoto inayosumbua siyo uhalali wa rais Mama Samia kugombea bali taratibu za kisiasa zinazotumika.
Haki ya kikatiba na kisheria kugombea anayo.
Mkuu watu wanamnyima stahiki zake hizo. Taratibu za kisiasa haziko kwenye katiba ya CCM, wala kanuni na wala siyo mawe. Aliyesema kuteua mgombea Januari ni kosa ni nani?
 
Name calling ndiyo defense yako? That’s just indecency! Ibara ulizotuletea ni za Katiba ya Nchi. Hizo ibara zinatusaidiaje kupima nominations zilizofanyika majuzi kinyemela?
 
unahakika fomu haikujazwa? Hukusikia sekretariati inambiwa iende ikae? Unafikiri sekretariati huwa inachanganya zege? Mkuu ukisikia sekretariati inaenda kukaa linapokuwa ni jambo linahusu uchaguzi ujue inaenda kujadili fomu.
Dirisha la kuchukua fomu likifunguliwa inatangazwa publicly ili kila mwanachama aamue yeye mwenyewe kuchukua fomu au la!
 
kushinda au kushindwa ni majaliwa. Hivi yale maji ya kinyaturu kwani yalibaki kwenye ile chupa au yaliisha yote?
Alichaguliwa sambamba na Magufuli. Ila mnataka achaguliwe kwa miaka 15 jumla. Ofisi ya rais inaisha muhula wake mwaka huu 2025.

Kimsingi samia ilibidi apishe tu kwa sababu alishaingia kwenye awamu ya mwisho.

Endapo Magufuli angefariki awamu ya kwanza 2015-2016 hiki kinachofanyika sasa ndicho kingempa uhalali rais samia kugombea 2020 tena kwa utaratibu wa ccm bila kupingwa.
 
Kachaguliwa ili awe Makamu, Kwa hiyo kama anataka na sasa atakuwa amemaliza muhula wa pili wa umakamu. Ili kwenda ngazi ya juu, chujio lina muhusu
 
unahakika fomu haikujazwa? Hukusikia sekretariati inambiwa iende ikae? Unafikiri sekretariati huwa inachanganya zege? Mkuu ukisikia sekretariati inaenda kukaa linapokuwa ni jambo linahusu uchaguzi ujue inaenda kujadili fomu.
Na hizo ng'ombe za chuo kikuu zinazochangia hela Kwa ajili ya fomu au ni fomu ya Kuomba kazi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…