Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu, sio kwamba ni mfanano wa majina tu?Hana lolote, yaani à naangalia kushindana na Kiba tu. Hadi kuamua kukopy wimbo wa Matonya.
Na idea yote imetokana na wimbo wa matonya, ubunifu zero kabisa.Mkuu, sio kwamba ni mfanano wa majina tu?
Kakopy kabisa, mpaka na yeye kaweka yule mchekeshaji sifahamu jina, kule kwa Matonya yupo kingwendu.Mkuu, sio kwamba ni mfanano wa majina tu?
Zile karanga ovyo kabisa. Karanga punnje 9 kwa Tsh 100... Bora ninunue robo kilo kwa Tsh 800 nakula wiki nzimaHawez kunusa maana ata hela ya kununua tuzo hizo atakua hana... sana sana atageukia karanga ambazo watu wakshajua kwenye kile kipakti kuna karanga tisa (9) hawatanunua
Sent using Jamii Forums mobile app
Umeona eeeh yaani wale ni vilaza na watakwenda angukia pua kama yamoto band na tip top. On top of that babu talle na Sallam wanahitaji elimu, maana wanatumia ujanja ujanja tu kumanage.Na idea yote umetokana na wimbo wa matonya, ubunifu zero kabisa.
To accomplish much you must first lose everything..
Bila Shaka anaitwa MbotoKakopy kabisa, mpaka na yeye kaweka yule mchekeshaji sifahamu jina, kule kwa Matonya yupo kingwendu.
Robo kilo unakula wiki nzima?Zile karanga ovyo kabisa. Karanga punnje 9 kwa Tsh 100... Bora ninunue robo kilo kwa Tsh 800 nakula wiki nzima
Sent using Jamii Forums mobile app
Nanunuaga robo kilo kisha nakaanga kwenye microwave nakula almost wiki nzimaRobo kilo unakula wiki nzima?
"the highest risk should give maximum profit"
Na idea yote imetokana na wimbo wa matonya, ubunifu zero kabisa.
To accomplish much you must first lose everything..
Wengine wanasema kacopy kivue kiatu ile ya Muhando..Kakopy kabisa, mpaka na yeye kaweka yule mchekeshaji sifahamu jina, kule kwa Matonya yupo kingwendu.
We ulijuaje kama zipo tisa kama hukununuaHawez kunusa maana ata hela ya kununua tuzo hizo atakua hana... sana sana atageukia karanga ambazo watu wakshajua kwenye kile kipakti kuna karanga tisa (9) hawatanunua
Sent using Jamii Forums mobile app
Chapati moja 250 kwa mama ntilie chapati sita ni sawa 1500 sawa na kg 1 ya ngano yenye kutoa chapati zaid ya 15.Zile karanga ovyo kabisa. Karanga punnje 9 kwa Tsh 100... Bora ninunue robo kilo kwa Tsh 800 nakula wiki nzima
Sent using Jamii Forums mobile app
HahahaZile karanga ovyo kabisa. Karanga punnje 9 kwa Tsh 100... Bora ninunue robo kilo kwa Tsh 800 nakula wiki nzima
Sent using Jamii Forums mobile app