Miss Natafuta
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 27,031
- 49,928
mimi nimesikia kakopy pambio la bony mwaitegeWengine wanasema kacopy kivue kiatu ile ya Muhando..
Ila kwa mimi naona ni ubunifu tu.
Mashairi ni tofauti kabisa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mimi nimesikia kakopy pambio la bony mwaitegeWengine wanasema kacopy kivue kiatu ile ya Muhando..
Ila kwa mimi naona ni ubunifu tu.
Mashairi ni tofauti kabisa.
Kijana ni mbunifu, na ubunifu wake ndio umemfikisha hapo kileleni alipo kitu ambacho wenzake wengi wamekosa..mimi nimesikia kakopy pambio la bony mwaitege
Karanga tisa mia tatu [emoji1]Zile karanga ovyo kabisa. Karanga punnje 9 kwa Tsh 100... Bora ninunue robo kilo kwa Tsh 800 nakula wiki nzima
Sent using Jamii Forums mobile app
Nilinunua kwa ajili ya utafiti mkuu
Nimekuelewa sn mkuu....siwezi chukia mtu kisa ana mafanikio huo ni uchawi kasoro tungurKijana ni mbunifu, na ubunifu wake ndio umemfikisha hapo kileleni alipo kitu ambacho wenzake wengi wamekosa..
Kama hiki alichofanya kikawaida sikutegemea,kwahiyo ile kushangaa ni furaha na burudani tupu!
Mkuu.. Kuna nguvu inanisukima nije PM kwako. Naomba nipokeeHawezi kufika maana ana complicate mambo.
Yaani like ana stress na hajui jinsi ya kuzicontrol .
Anahitaji ushauri sana sema ni vile management yake akina Tale akili zao zimefanana.
Kwa akili yake alijua akiachia hiyo ngoma atazima ya Alikiba.
Kwa Kifupi Diamond hajui kitumia silaha alizo nazo , yaani silaha gani na itumike wakati gani.
Zile karanga ovyo kabisa. Karanga punnje 9 kwa Tsh 100... Bora ninunue robo kilo kwa Tsh 800 nakula wiki nzima
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji106]Yani nashukur mzazi wangu kunipa elimu. Kinachomtesa Mondi ni lack of Education. That's why Alikiba knows that 'the best revenge is not to be like your enemy' sasa yy Dai anataka wafanane. Which is wrong, pia anapenda competion
Elimu elimu elimu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Anatoa nyimbo za ndani na nje, hujamsoma mpaka leo?? Uko sloo!!Unafikiri hii staili ya vigodoro inaweza kumpaisha kimataifa na kupata tuzo tena?
Unajivunia elimu ha ha ha kula elimu ykoYani nashukur mzazi wangu kunipa elimu. Kinachomtesa Mondi ni lack of Education. That's why Alikiba knows that 'the best revenge is not to be like your enemy' sasa yy Dai anataka wafanane. Which is wrong, pia anapenda competition
Elimu elimu elimu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa ukimtoa Dai kwa wasafi sio wasafi tena still hata wale wengine wakiondoka wasafi akabaki Dai still itakua wasafi kiufupi pale wote wanategemea Mondi wakina Sallam, Mwarabu fighter, cjui mavoko, kifesi.
Ni kweli, wengi wanamchukia kutokana na mafanikio yake!Nimekuelewa sn mkuu....siwezi chukia mtu kisa ana mafanikio huo ni uchawi kasoro tungur
Sent using Jamii Forums mobile app
Am very much proud to be educated. Isingekua elimu ningekua kama Mondi. Najivunia mara dufu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] daaahHawez kunusa maana ata hela ya kununua tuzo hizo atakua hana... sana sana atageukia karanga ambazo watu wakshajua kwenye kile kipakti kuna karanga tisa (9) hawatanunua
Sent using Jamii Forums mobile app