Unafikiri Diamond akiendelea na aina hii ya Muziki atanusa tena tuzo za Kimataifa?

Kijana ni mbunifu, na ubunifu wake ndio umemfikisha hapo kileleni alipo kitu ambacho wenzake wengi wamekosa..

Kama hiki alichofanya kikawaida sikutegemea,kwahiyo ile kushangaa ni furaha na burudani tupu!
Nimekuelewa sn mkuu....siwezi chukia mtu kisa ana mafanikio huo ni uchawi kasoro tungur

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hawezi kufika maana ana complicate mambo.
Yaani like ana stress na hajui jinsi ya kuzicontrol .
Anahitaji ushauri sana sema ni vile management yake akina Tale akili zao zimefanana.
Kwa akili yake alijua akiachia hiyo ngoma atazima ya Alikiba.
Kwa Kifupi Diamond hajui kitumia silaha alizo nazo , yaani silaha gani na itumike wakati gani.
 
Mkuu.. Kuna nguvu inanisukima nije PM kwako. Naomba nipokee

Sent from my Iphone 7 using JamiiForums mobile app
 
Unajivunia elimu ha ha ha kula elimu yko

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwani hyo nyimbo ni ya diamond au wasafi?

Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa ukimtoa Dai kwa wasafi sio wasafi tena still hata wale wengine wakiondoka wasafi akabaki Dai still itakua wasafi kiufupi pale wote wanategemea Mondi wakina Sallam, Mwarabu fighter, cjui mavoko, kifesi.

Mfnao moja wapo manager aondoke utakua bado wasafi lakini waondoke Dai. Wote wapo pale kwajili ya Mondi
That's why manager wake sallam sk. Kakopi ile picha kwa Mondi kaipaste kwake. Kuicheka nyimbo ya kiba. But still King yupo juu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mmesahau kuwa kuna nyimbo na patroranking inakuja...na mmesahau alishawaambia kuna nyimbo za nyumbani na nyimbo za mbele msijifanye vichwa ngumu....
 
Hawez kunusa maana ata hela ya kununua tuzo hizo atakua hana... sana sana atageukia karanga ambazo watu wakshajua kwenye kile kipakti kuna karanga tisa (9) hawatanunua

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] daaah
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…