Unafikiri Diamond akiendelea na aina hii ya Muziki atanusa tena tuzo za Kimataifa?

Ali Ana level gani ya elimu?unaweza ukampita b gates kwa alimu na ukawa masikini alimu na akili ni vitu viwili tofauti sawa?
 
Hapo naona tunaelekea kwelewana. Akili anayo lakini elimu hana. Angekua nayo huwenda tungekua sawa

Sent using Jamii Forums mobile app
Huenda na sio huwenda?labda angekua na elimu asingefika hapo.wengi wenye akili nyingi ndo wamefika mbali kimaisha na wengi wenye elimu kubwa wamekua wakifanya kazi kwa wenye akili kubwa ktk maisha.tafakari!!
 
Ni kweli, wengi wanamchukia kutokana na mafanikio yake!

Anaenda na wakati na anajua nini afanye kwa wakati gani.. Anajua ni aina gani ya wimbo anatoa kwaajili ya watanzania na upi anatoa ili uvuke mipaka!
Anachukiwa kwa sababu anamchukia Ali kiba kipenzi cha watu bila sababu
 
Amejidhalilisha sana diamond mie nilikuwa sina timu nawapenda wote, kanichafua kaanza kumchokoza mwenzie kamjibu kaona hata muweza peke yake kaita na vijana wake wote mbaya zaidi kaiba wimbo wa matonya bila ruhusa yake kaufanyia manjonjo tu. Lengo la kutumia vijana wake ni kwamba atakapoiweka YouTube ipate viewers wengi kutoka kwa kila shabiki wa hao vijana 7 amshinde kiba. Dogo anaweweseka mwaka huu katoa nyimbo nyingi zimebuma kwa washabiki wake sasa kaona atumie bifu nae atachemka sababu ndio kampa kiki kiba.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Kwenye viewers kashagaragazwa [emoji23][emoji23][emoji125]‍♀️ karibu Mara 3
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…