Unafikiri Diamond akiendelea na aina hii ya Muziki atanusa tena tuzo za Kimataifa?

Unafikiri Diamond akiendelea na aina hii ya Muziki atanusa tena tuzo za Kimataifa?

Ataendelea kuuza karanga tu, eti kile kiwimbo ZILIPENDWA kinafananishwa na SEDUCE ME?

Kwa Hisani Ya Watu Wa Mbeya!
 
Yani nashukur mzazi wangu kunipa elimu. Kinachomtesa Mondi ni lack of Education. That's why Alikiba knows that 'the best revenge is not to be like your enemy' sasa yy Dai anataka wafanane. Which is wrong, pia anapenda competition

Elimu elimu elimu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Diamond na ww nani ana mafanikio tuanzie apo kwanza afu tule pumba zako[emoji1]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
And I repeat am proud to be educated.

Sent using Jamii Forums mobile app

Kuuhudhuria shuleni au chuoni na kupata cheti ni tofauti na kuwa na elimu-educated, sio wote wenye vyeti wana elimu.

Uzuri utawatambua kwa matunda yao.

Great minds discuss ideas; average minds discuss events, SMALL MINDS DISCUSS PEOPLE.
 
Kuna tofauti ya kuwa kuhudhuria shuleni au chuoni na kupata cheti na kuwa na elimu-educated, sio wote wenye vyeti wana elimu.Utawatambua kwa matunda yao.

Great minds discuss ideas; average minds discuss events, SMALL MINDS DISCUSS PEOPLE.
So you wanted me to discuss animals. Hili jukwa la ma celeb. Am free to air out what is on my mind. Usiforce tufanane.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Chapati moja 250 kwa mama ntilie chapati sita ni sawa 1500 sawa na kg 1 ya ngano yenye kutoa chapati zaid ya 15.
Basi watu wasingekuwa wana nunua chapati
Umeongea kweli watz huumia sana Mtu anapofanya jambo angetoa manji hizo karanga mngesifia mpaka basi katoa masikini mwenzenu mnaponda daaah wabongo kuendelea ni ngumu
 
Back
Top Bottom