Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naishangaa aina ya elimu unayojivunia yet unaendeshwa na huyo asiyesoma.
And I repeat am proud to be educated.Naishangaa aina ya elimu unayojivunia yet unaendeshwa na huyo asiyesoma..
Diamond na ww nani ana mafanikio tuanzie apo kwanza afu tule pumba zako[emoji1]Yani nashukur mzazi wangu kunipa elimu. Kinachomtesa Mondi ni lack of Education. That's why Alikiba knows that 'the best revenge is not to be like your enemy' sasa yy Dai anataka wafanane. Which is wrong, pia anapenda competition
Elimu elimu elimu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Basi atarud kuvua dagaa kg au kuuza mitumba tandale
Mimi hapaDiamond na ww nani ana mafanikio tuanzie apo kwanza afu tule pumba zako[emoji1]
Sent using Jamii Forums mobile app
Majina tu uimbaji na kila kitu tofauti.iangalie tena yamatonyaHana lolote, yaani à naangalia kushindana na Kiba tu. Hadi kuamua kukopy wimbo wa Matonya.
Mia tatu bwanaZile karanga ovyo kabisa. Karanga punnje 9 kwa Tsh 100... Bora ninunue robo kilo kwa Tsh 800 nakula wiki nzima
Sent using Jamii Forums mobile app
So you wanted me to discuss animals. Hili jukwa la ma celeb. Am free to air out what is on my mind. Usiforce tufanane.Kuna tofauti ya kuwa kuhudhuria shuleni au chuoni na kupata cheti na kuwa na elimu-educated, sio wote wenye vyeti wana elimu.Utawatambua kwa matunda yao.
Great minds discuss ideas; average minds discuss events, SMALL MINDS DISCUSS PEOPLE.
Ila mwisho wa siku elimu bila ya pesa ni sawa na mwanaume asiye di.ndi.sha ndio maana hao hao wasomi wanalilia ajira ili wapate pesa
Unajitekenya afu unacheka mwenyewe[emoji4] [emoji4] [emoji4] baki na elimu yako! ,lipumba ni pro lakin ......
Naona hujanielewaIla mwisho wa siku elimu bila ya pesa ni sawa na mwanaume asiye di.ndi.sha ndio maana hao hao wasomi wanalilia ajira ili wapate pesa
Umeongea kweli watz huumia sana Mtu anapofanya jambo angetoa manji hizo karanga mngesifia mpaka basi katoa masikini mwenzenu mnaponda daaah wabongo kuendelea ni ngumuChapati moja 250 kwa mama ntilie chapati sita ni sawa 1500 sawa na kg 1 ya ngano yenye kutoa chapati zaid ya 15.
Basi watu wasingekuwa wana nunua chapati
Ulitaka ninkijitekenya ucheke wewe auUnajitekenya afu unacheka mwenyewe[emoji4] [emoji4] [emoji4] baki na elimu yako! ,lipumba ni pro lakin ......
Sent using Jamii Forums mobile app