Unafikiri Diamond akiendelea na aina hii ya Muziki atanusa tena tuzo za Kimataifa?

Mi naombea Diamond aendelea kuwepo kwene muziki wa bongo kwa sasa akipotea basi itachukua mdaa sana kupata mtu wakutuwakirisha tena maan muzik wa bongo umekuwa famous nje kwa bidii kubwa ya domo,...na yy kiukwel ndie anaeleta chachu kwene muziki....akibaki kiba peke ake muziki umekufa ila anaweza ondoka kiba akabaki domo muziki ukazidi kusongo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umeona eeeh yaani wale ni vilaza na watakwenda angukia pua kama yamoto band na tip top. On top of that babu talle na Sallam wanahitaji elimu, maana wanatumia ujanja ujanja tu kumanage.
Na lile kundi lao la wcb ambalo kirefu chake kinachefua wanadhan wanamkoma mpinzani wao kumbe wanaji overdose

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Am very much proud to be educated. Isingekua elimu ningekua kama Mondi. Najivunia mara dufu

Sent using Jamii Forums mobile app
jivunie nahrat elimu ndo kila kitu mama na naamini unakula kutokana na hiyo na kama hujaanza kula ipo siku utakula tu kwa elimu yako achana na huyu kenge maji anaetaka jifanya elimu si kitu puuuumbav.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
siyo kuwakiRisha ni kutuwakilisha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…