HaweziUnafikiri hii staili ya vigodoro inaweza kumpaisha kimataifa na kupata tuzo tena?
Zile karanga ovyo kabisa. Karanga punnje 9 kwa Tsh 100... Bora ninunue robo kilo kwa Tsh 800 nakula wiki nzima
Sent using Jamii Forums mobile app
Hujajibu swali la mtoa madaMi naombea Diamond aendelea kuwepo kwene muziki wa bongo kwa sasa akipotea basi itachukua mdaa sana kupata mtu wakutuwakirisha tena maan muzik wa bongo umekuwa famous nje kwa bidii kubwa ya domo,...na yy kiukwel ndie anaeleta chachu kwene muziki....akibaki kiba peke ake muziki umekufa ila anaweza ondoka kiba akabaki domo muziki ukazidi kusongo
Sent using Jamii Forums mobile app
Kumbe zipo 9 tu...!!Zile karanga ovyo kabisa. Karanga punnje 9 kwa Tsh 100... Bora ninunue robo kilo kwa Tsh 800 nakula wiki nzima
Sent using Jamii Forums mobile app
Acha uongo angesoma sana angekuwa bank tellerHahahahha tayari umenitekenya na nimesha Cheka. Ila hoja yangu Diamond angesoma angekua mbali sana kuliko mimi
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Zile karanga ovyo kabisa. Karanga punnje 9 kwa Tsh 100... Bora ninunue robo kilo kwa Tsh 800 nakula wiki nzima
Sent using Jamii Forums mobile app
duu karanga tisa watu noma hiiHawez kunusa maana ata hela ya kununua tuzo hizo atakua hana... sana sana atageukia karanga ambazo watu wakshajua kwenye kile kipakti kuna karanga tisa (9) hawatanunua
Sent using Jamii Forums mobile app
Matonya analalamika huko, njia mzima!Hana lolote, yaani à naangalia kushindana na Kiba tu. Hadi kuamua kukopy wimbo wa Matonya.
Nimejaribu kuusikiliza kwa makini ni kweli amecopy kwa matonyaMkuu, sio kwamba ni mfanano wa majina tu?
Umekurupuka. Jichambe kwanzaAcha uongo angesoma sana angekuwa bank teller
ama karani kama ww, hv unajua maana ya opportunity cost?
usipende kukariri. Ila sipingi kwamba elimu ni muhimu
Ni kawaida kujichamba mwenyewe, sio
Naona unanishobokea.Ni kawaida kujichamba mwenyewe, sio
wewe unasubiri kuchambwa
Kwa lipi ulilonalo wivu tu na pic za kudokoa hizo
Hahahaha ur just a bullshit if not a son of a bitchKwa lipi ulilonalo wivu tu na pic za kudokoa hizo
potea kimpango wako usiniqote.
Nikikutukana nitakuwa nimekuonea
Sitaki unionee!!!! Am comfortableNikikutukana nitakuwa nimekuonea
nakuacha kama ulivyo,