Unafikiri Diamond akiendelea na aina hii ya Muziki atanusa tena tuzo za Kimataifa?

Unafikiri Diamond akiendelea na aina hii ya Muziki atanusa tena tuzo za Kimataifa?

Mi naombea Diamond aendelea kuwepo kwene muziki wa bongo kwa sasa akipotea basi itachukua mdaa sana kupata mtu wakutuwakirisha tena maan muzik wa bongo umekuwa famous nje kwa bidii kubwa ya domo,...na yy kiukwel ndie anaeleta chachu kwene muziki....akibaki kiba peke ake muziki umekufa ila anaweza ondoka kiba akabaki domo muziki ukazidi kusongo

Sent using Jamii Forums mobile app
Hujajibu swali la mtoa mada

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mawazo ya kijiweni baada ya kulewa chibuku ya bure Hahaa mtatabiri sanaaaa simba ni simba kamwe hawi nyau!
 
Back
Top Bottom