Unafikiri ni kauli ipi inatisha kuliko zingine kwenye dala dala?

Unafikiri ni kauli ipi inatisha kuliko zingine kwenye dala dala?


1) Nitakupa.
2) Atakupa mbele.
3) Hujapewa mbele?
4) Utapewa nyuma.
5) Nitakupa nikikaa vizuri.
6) Ngoja isimame nikupe.
7) Subiri asimamishe nikupe.
8) Hivi nilivyokaa nitakupaje?
9) Utapewa tulia.
10) Nikupe mara ngapi?
11) Msimpe nimeshampa huku mbele


Chagua halafu
ongezea na wewe zingine
Hahahahahahaha wee jamaaaaa
 
Back
Top Bottom