Unafikiri nini sababu inayomfanya huyu manzi asiachane na huyu jamaa?

Unafikiri nini sababu inayomfanya huyu manzi asiachane na huyu jamaa?

ankol

JF-Expert Member
Joined
Aug 21, 2012
Posts
2,720
Reaction score
5,286
Pamoja na kipigo chote anachokipata, unadhani sababu gani inayomfanya huyu manzi amnganganie mwamba?
 

Attachments

  • VID-20250409-WA0000.mp4
    6.7 MB
Hapa ni either huyu mwanamke hana msaada anajua akitoka Kwa jamaa ataenda wapi au hana akili timamu.

Ila kupiga mwanamke hadi kumtoa damu namna hii haijakaa poa,
Ukimng'oa meno?
Ukimtoa jicho(macho)?

Yaani apate kilemq ilhali alikuja mzima?

Mwanamke akiwa anakonda hapo kwako wakati alikuja mnene lazima mwanaume utafute namna kiumbe cha watu kirudi kwenye mstari.
 
Aise mwanamke akikupenda mpka Huwa wanakuwa kama machizi hivi, yaan hapo mpka kuja kushtuka kashafika mbinguni Kwa vipigo.

Kuna wanawake wengi wamekuwa watumwa wa ngono hata kinyume na maumbile Kwa ajiri ya kupenda na kuwaridhisha watu wao lakin moyoni wanasononeka.

Mabinti wengi Wana rekodiwa mpka video za ngono na watu wao bila wao moyoni kuridhia yote Kwa yote amridhishe huyo mtu wake.
 
Back
Top Bottom