Hapa ni either huyu mwanamke hana msaada anajua akitoka Kwa jamaa ataenda wapi au hana akili timamu.
Ila kupiga mwanamke hadi kumtoa damu namna hii haijakaa poa,
Ukimng'oa meno?
Ukimtoa jicho(macho)?
Yaani apate kilemq ilhali alikuja mzima?
Mwanamke akiwa anakonda hapo kwako wakati alikuja mnene lazima mwanaume utafute namna kiumbe cha watu kirudi kwenye mstari.