Unafikiria ingekuwaje kama pasingekuwepo kitu chochote?

Unafikiria ingekuwaje kama pasingekuwepo kitu chochote?

NA TUNGEJUA VIPI KAMA HAMNA CHOCHOTE???

IKIWA HATUPO.
 
Hili jambo limewahi kujadiliwa sana humu ndani, ni kitambo kidogo na kwa namna hoja zilivyokuwa zikijengwa wakat ule nikilinganisha na leo nahitimisha kwa kusema kuwa JF ya sasa vilaza wengi.
 
h
Je unaongelea kwenye dunia hii au universe? Lakini unapoongelea mwanga duniani maana yake umehusisha Jua, na mwanga na giza umehusisha dunia kujizungusha katika muhimili wake. Jibu rahisi ni kwamba hali yawezekana kuwa kinyume na sasa au tofauti na sasa na sio kinyume na sasa ingawaje hakuna mtu wa kutoa empirical evidence kwani ata yeye hatakuwepo na sisi wote hatutakuwepo labda kama hali hii ya sasa itarudi tena na sisi tukiwa vilevile ikiwemo memory ya hali zote mbili - experimental and control time.

Halafu research ya hii kitu ni unethical kwani experiment ya kukosa hewa ni wewe kuzibwa wind pipe yako (mfumo wa hewa) au kunyimwa oxygen na matokeo yake ni kifo - hivyo ukiondoa hewa life tunayoijua haitakuwepo.

Halafu ukumbuke kwamba katika universe kuna dark energy na matter vitu ambavyo bado hatujavielewa bado; na kunauwezekano kuwa uelewa wetu sio sahihi kwa kiasi fulani. Hivyo nini kitatokea yaweza kuwa ngumu ku-predict.

Kwa kifupi science tayari inajaribu kutuambia hali itakauwa tofauti na very likely kinyume na sasa au tofauti na sasa mbali na kinyume na sasa.
Hapo inabidi kutumia Difference in Difference Methodology
 
Hili jambo limewahi kujadiliwa sana humu ndani, ni kitambo kidogo na kwa namna hoja zilivyokuwa zikijengwa wakat ule nikilinganisha na leo nahitimisha kwa kusema kuwa JF ya sasa ****** wengi.
🙁🙁🙁
 
Back
Top Bottom