Mh! asante sana, "lakini" hiyo Application isije kuwa ni chambo cha Mulilo 😀 😀 😀 😀 😀 😀 😀 ............nawaza tu....thinking wideView attachment 3412813
Badilisha kutoka kwenye daftari na kalamu sasa unaweza:
✅ Kurekodi gharama zote za mradi
✅ Kupata ratiba ya kulisha kuku kulingana na umri na idadi
✅ Kukumbushwa siku za chanjo
Usibaki nyuma kwenye teknolojia. Pakua Fuga App sasa kwenye Playstore na uanze kufuga Kijanja Zaidi!!!
Watu mmekaa Ki machale machale🤓🤓🤓Mh! asante sana, "lakini" hiyo Application isije kuwa ni chambo cha Mulilo 😀 😀 😀 😀 😀 😀 😀 ............nawaza tu....thinking wide
kwa tulipo hapa TZ kuwa macho na so-called applications.....you might be trapped easily!Watu mmekaa Ki machale machale🤓🤓🤓
Mmmh,Yawezakua ni kweli sio mtu wa kuamini ,Lakini tunakosea sana kwenye Mifugo jinsi ya ku diagnose magonjwa, hawezi kukushauri dawa bila vipimo na njia mmoja ya kuchukua vipimo ni kupitia hayo maswali, Ndio maana hata kwa binadamu haishauriwi kutumia dawa bila ushauri/kumuona daktari. Utumiaji holela wa dawa unapelekea usugukwa tulipo hapa TZ kuwa macho na so-called applications.....you might be trapped easily!
Kuna mtu humu anajiita daktari wa mifugo. Nilimuomba ushauri kuhusu ng'ombe kuumwa. Akawa anazunguka mbuyu mara oh kaanza lini, mara choo kikoje..mara nipigie namba hii, mara njoo inbox.
nikasema nikupigia anonymity iko wapi tena ?
Nikakwambia nambie dawa gani, inbox ya nini? siwez. Nikamuona huyu si wa kuamini!
Mkuu, gharama za kupunguza chakula ndio faida yenyewe, unaweza kutupa ujuzi kidogo katika hiloPia zipo mbinu za kupunguza gharama za chakula cha kuku
Kwa mm moja ya mbinu nayo amini kupunguza gharama ya Chakula,ni kulisha kwa uwiano sawa,Mfano kama una kuku 100,lisha chakula cha kuku 100,wakifa kuku 10,lisha share ya kuku 90Mkuu, gharama za kupunguza chakula ndio faida yenyewe, unaweza kutupa ujuzi kidogo katika hilo