Unafurahia mwaka mpya ukiwa wapi ndugu mwana JamiiForums?

Kama mimi tu, tangu saa nne usiku mwaka jana niliingia kulala mapema.
Aisee kumbe haukua miongoni mwa walioona shamra shamra za nwaka mpya!
Basi Mungu aufanye mwaka 2024 uwe wenye neema, furaha na mafanikio kwako.
 
Amina. Nashukuru sana kwa maombezi yako mkuu. Mungu akusimamie pia katika mipango yako, ufikie malengo uliyojiwekea.

Kheri ya mwaka mpya kaka
 
Back
Top Bottom