Hahahaha.
Swali lake gumu kwasababu liko too general. Ila jibu fupi ni uzembe wa mmiliki wa gari kuuziwa vilainishi fake.
Owner wa Toyota anaekaa Dar si aende tu Msimbazi St kuna Toyota Shop wanauza ATF original na oil original.
Tatizo wengi tunapeleka gari gereji na kumuachia kila kitu fundi, pesa tunatuma kwa lipa namba.
Kuna uzi ulipostiwa humu Buguruni kuna kiwanda cha Oil fake za Total. Imagine Total wanatwngezewa fake na zina seal na zipo kwenye box original na ukiona sample huwezi tofautisha.