unagunduaje oili original na feki za Toyota ?

Hapo ndio umesha maliza au unakuja tena !?
Hahahaha.

Swali lake gumu kwasababu liko too general. Ila jibu fupi ni uzembe wa mmiliki wa gari kuuziwa vilainishi fake.

Owner wa Toyota anaekaa Dar si aende tu Msimbazi St kuna Toyota Shop wanauza ATF original na oil original.

Tatizo wengi tunapeleka gari gereji na kumuachia kila kitu fundi, pesa tunatuma kwa lipa namba.

Kuna uzi ulipostiwa humu Buguruni kuna kiwanda cha Oil fake za Total. Imagine Total wanatwngezewa fake na zina seal na zipo kwenye box original na ukiona sample huwezi tofautisha.
 
Ndio maana mimi oil naenda kununua mwenyewe total kama watanipa feki basi nijua naanzia wapi nao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…