inaonyesha umepanda gari ambayo seat zake hazijapewa majina ama namba( labeled). Anyway Pata assistance kutoka Kwa bus conductorHv siti za gari. Huwa wanahesabuje kuipata namba ulipoewa Mimi sio mzoefu sana wa safar
Hebu muulize mhudumu wa gari aliyepo hapo ndani,au abiria mwezako,muundo wa siti unatofautiana kati na basi moja na lingine,utaelekezwaje humu?Hv siti za gari. Huwa wanahesabuje kuipata namba ulipoewa Mimi sio mzoefu sana wa safar