Unahisi hii imesababishwa na nini (UDOM)

Unahisi hii imesababishwa na nini (UDOM)

Ulamaa Hemed

Senior Member
Joined
Sep 21, 2012
Posts
159
Reaction score
16
Imetokea UDOM college ya Humanities and Social science, Kuna wanafunzi wengi kwani first year pekee wapo Kama 1200 bado second na third year, lkn cha ajabu imetangazwa seminar presentation ambayo itahusisha
1: Interview skills
2:Networking smart
3: Technical proposal
Fee ni 5000 pamoja na Chet lkn cha ajabu mpk muda uliopangwa umeisha hakuna hata mwanafunzi mmoja aliyetoa hela. Toa mtazamo/ maoni yako lkn sio kejeli
 
Kuna mambo mengne mnaleta humu ni ya kijinga sana..na majitu machache yenye mtindio wa ubongo kama wewe ndo mnaofanya udom idharauliwe humu jf kwa thread za kijinga kama hizi.asa hapa unataka tujadili nini?
 
Imetokea UDOM college ya Humanities and Social science, Kuna wanafunzi wengi kwani first year pekee wapo Kama 1200 bado second na third year, lkn cha ajabu imetangazwa seminar presentation ambayo itahusisha 1: Interview skills 2:Networking smart 3: Technical proposal Fee ni 5000 pamoja na Chet lkn cha ajabu mpk muda uliopangwa umeisha hakuna hata mwanafunzi mmoja aliyetoa hela. Toa mtazamo/ maoni yako lkn sio kejeli
huyu mbulula katokea wapi tena huku!....unafanyia wa2 biashara poor thinker!.....
 
Back
Top Bottom