Unahisi Jonas Mkude akicheza na pacha zipi atatisha pale Jangwani?

Soloma TV Online

Senior Member
Joined
Jun 26, 2023
Posts
104
Reaction score
291
Kiungo mwenye eneo lake ndani ya dimba atua Jangwani na kukabidhiwa Jezi namba 20 ile ile aliyoizoea. Usajili huu utakuwa na faida kubwa sana pale Jangwani kwa sababu huyu kiungo ana nyota yake, lakini swali kubwa AKICHEZA NA PACHA ZIPI ATATISHA ZAIDI?.
 
Mpira ni sayansi, kwa maana ya hesabu, fizikia na baiolojia, mambo ya nyota ni ya kufikirika tu. Sayansi inakataa kumrudisha Mkude katika kung'ara uwanjani bila kujali atacheza pacha na nani
 
Ukiongezea Chemistry hapo sayansi itamkubari tu
✍️
Sio suala la kuongeza, ni nature. Au unadhani nimeyataja hayo maarifa kwa kuangalia masomo? Narudia tena, uchezaji wa mpira ni sayansi kwa maana ya hesabu, fizikia na baiolojia, kila kimoja hapo kina mchanganuo wake
 
uchezaji wa mpira ni sayansi kwa maana ya hesabu, fizikia na baiolojia,
Na chemistry unafikiri zile assist zinatolewa bure bure tu ? Au hujui chemistry ni nini unafikiri ni somo ? 😆
✍️
 
Na chemistry unafikiri zile assist zinatolewa bure bure tu ? Au hujui chemistry ni nini unafikiri ni somo ? 😆
✍️
Sasa unaniuliza mimi kuhusu Chemistry wakati ndio nyumbani kwake? Chemistry haina mchango wowote katika uchezaji wa mpira, achana na misemo ya wachambuzi. Labda nikuwekee zaidi pengine utaelewa. Mwili wa binadamu katika uchezaji mpira kwa kiasi kikubwa unaobey law za motion za Newton, ndio maana nikakwambia ni physics (principles za motion), mathematics (scientific communication) na biology (viungo/maumbile na jinsi yanavyotakiwa, yalivyo sasa na yalivyochoka kwa umri). Katika uchezaji wa mpira, Chemistry ni kama History tu
 
Basi sawa ni Geography sio history
✍️
 
Chemistry kwenye mpira ipo, uhusiano au baina ya mchezaji na mchezaji.
 
Hapa umepuyanga. Hongera Mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…