Unahisi kumpenda nani hapa JF?

Taratibu, naona waumini wanauliza maswali sasa, kanisani hakuna kuuliza maswali

sawa??!!!
 
Nikiiweka wazi hspitali ninayofanyia kazi nitakuwa nimekiuka taratibu za JF na nitastahili ban, ni kweli hiki kipaji cha kutibu kwa tarumbeta ni cha kipekee

NiPM basi hilo jina la hospitali au andika kwa chaki bht hataona.
Naona hiyo hospitali yako inayotibu kwa matarumbeta inaweza kuwa ni tiba mbadala ya matunda ya asili na mimea kama ya Dk.Ndodi

Edit hii fasta....nikirudi nisiikute kabisa.
Nipruvu rong kwanza kama kweli hakuna kalaana.Weka madata hapa ya kuhakikisha kwanza ndio ntaedit.
 
tutofautishe kupenda na kutamani. Huwezi kumpenda mtu kama hujawahi kuishi nae na kumjua kiundani zaidi. tafadhari simaanishi kumjua kingono.
 
kwani ni kumpenda kivipi?kuna kupenda kwa aina nyingi fafanua,kuna kupenda kwa jionsia moja na jinsia tofauti tufafanulie tafadhali
 
heheheheNawapenda Kaizer, pape, RAy B. , De novo, Paka jimmyMasanilo ananichanganya natamani kumpenda lakini simuelewi sometimes, Nyamayao, FL1, Preta,Mwanajamii1 !.Kumbe nawapenda wengi hivi. loh
Nampenda pia Nanu, Bubu ataka Kusema.Nanu wherever you are kula tano
 

Halleluya! Bwana asifiwe! at last BAK naye kapata mtu anayempenda hahahahahahaha πŸ˜‰ Ahsante sana Mkuu utakuwa mpendwa milele katika moyo wangu. Ahsante sana πŸ™‚

Have a great day πŸ™‚
 
Mi nawapenda wengi tu humu ndani ila ninayempenda zaidi mwenyewe anajijua
 
Nimechelewa jamvini karamu imeshaliwa.....

Annina
 
Nimechelewa jamvini karamu imeshaliwa.....

Annina

kuna pilau nimeficha kidogo nitakupatia japo uonje tu.....tatizo ngoma za mdundiko zinakupoteza sasa....hadi kimanzichana!πŸ˜€
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…