Unahisi kumpenda nani hapa JF?

Unahisi kumpenda nani hapa JF?

Mie mwenyewe moyo unabadilika kila siku. Jana ilikuwa bishanga leo nina mwingine kichwani.

Sasa na wewe ndo nini kufukunyua hili jiuzi? Ngoja nicheki mwanzo mwisho nione kama nimebadili choice. Manake nawapenda kama 20 hivi
 
Mapenzi ni mchanganyiko wa mambo na masuala mengi sana ikiwa ni pamoja na maneno ya kutamka na kuandika, zawadi, na mambo mengine mengi. Kama ndivyo wewe member wa JF ni nani unayehisi kuwa kwa maneno na uandishi wake anaweza kuwa mtu wa karibu kwako na akakupa furaha fulani?

Kutokujiamini kunafanya wakati mwingine vijana wengi wa ki Tanzania kufeli shuleni hata katika maisha!!Utakuta wanashindwa kabisa kujieleza na kunyoosha maelezo kama walivyoulizwa, tofauti kabisa na wa huku ughaibuni...na hapa hata kama ndio ungekua mtihani basi wengi wangefeli, THREAD imeuliza NI NANI sio wakina NANI,..taja mmoja. Kwi kwi kwi kwi eti OOh nawapenda wengi,ooooh fulani na fulani.
 
Mkuu umeona eeee, hata wakati nasoma kuna wanafunzi walikuwa wanapenda kujaza booklet nne lakini matokeo yakitoka mnafanana maksi na wa booklet moja
 
Wanazunguuuuuuka wakati swali jepesi...Kama wa Tz sisi!!!
 
Back
Top Bottom