Unahisi kumpenda nani hapa JF?

Unahisi kumpenda nani hapa JF?

hakuna hata mmoja coz kimtizamo wanawake wwngi jf wanaonekana ni wamama watu wazima or wadada waliokwisha kata ringi...hawana mvuto kiviiile...idoogo anaeonekana ana kamvuto ni lara 1

HAHAHAAAAAAAAAA! Usije tu kutoka baruuuuuuuuu! Kuchamba kwingi kutoka na Vima, ndo wewe sasa! We chagua sanaa utaruka zilikomaa na kufata koroma!
 
Ivi kwen huu uzi hakuna mtu amenitaja?😕😕😎
 
Bak!.......he is special and wonderful i wonder where he is!......hope to meet him some day!
 
I Love Eveline Salt, Kisukari and Mamdenyi and I hate Nivea.
 
Back
Top Bottom