kyanaKyoMuhaya
JF-Expert Member
- Jul 8, 2012
- 1,952
- 938
-Sijui nimtaje,ila je kama ana mtu si itakua utata hapa teh teh teh!
Nitaje mimi basi,
Huyo achana naye!
Please!!!
Sent from my mini ipad!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
-Sijui nimtaje,ila je kama ana mtu si itakua utata hapa teh teh teh!
hakuna hata mmoja coz kimtizamo wanawake wwngi jf wanaonekana ni wamama watu wazima or wadada waliokwisha kata ringi...hawana mvuto kiviiile...idoogo anaeonekana ana kamvuto ni lara 1
Heaven on earth hembu njoo uone hiki kiumbe! Hajui wengine tumekufa na kuoza kwako....heavean on earth ingawa nahisi hann mvuto wa sura na maumbile
HAHAHAAAAAAAAAA! Usije tu kutoka baruuuuuuuuu! Kuchamba kwingi kutoka na Vima, ndo wewe sasa! We chagua sanaa utaruka zilikomaa na kufata koroma!
MamndenyiHaaa ngoja wakue kwanza hao madogo watalia
Heaven on earth hembu njoo uone hiki kiumbe! Hajui wengine tumekufa na kuoza kwako....
heaven on desert nenda kwenye profile yangu halafu kuna sehem ya my photos nichek mleheavean on earth ingawa nahisi hann mvuto wa sura na maumbile
heaven on desert nenda kwenye profile yangu halafu kuna sehem ya my photos nichek mle