Unahisi kumpenda nani hapa JF?

Unahisi kumpenda nani hapa JF?

mkuu makoyo wahenga wanasema utu uzima dawa na hawa watu wazima ndo wanajua mahaba. vijana hawajui ku care
DEMBA my dear...huyo nishamjua nia yake, hajui kwamba maji hayazuiwi njia, hata siku moja...ukiyazuia yanapasua njia yenyewe
 
Last edited by a moderator:
mmmh first smile na mchunuku sana huyu bi dada,afu amu yeomiii dah she got a gwan,usimsahau preta hawa niwanawake ninao wapenda sana na natamani niwaone,bi mdashi mamamndenyi,cheusimangala big up zao
 
Mkuu chama bora kufia mahabani kuliko kufia kifuani, hahaha. Kumbuka Mamndenyi ni mtaalamu asiyechuja. Il wakati mwingine nikim-compare Kaizer na DEMBA Napata shaka maana DEMBA bado kigoli mbichi sasa Sir Kaizer umri umeenda kama Sir Alex Ferguson. Sijui tunaweza pata breaking news
makoyo
Kama safari ya peponi nitaanza kifuani kwa Mamndenyi yaani hapo ni shangwe tupu! haa aha unajua vigori wengi hawana utalaamu unaweza kushangaa DEMBA ndiye atakayekimbia unajua game za wazee kama Kaizer balaa ukichanganya na vile vidonge vya blue lazima akimbie mtu!
 
Last edited by a moderator:
chama hapa kwenye redi si umenipa msamiati mpya mwaya
mmmmh hii imekaa njema sana;
kumbe wana siasa wanalipa eti eeh.

Back
Top Bottom