Unahisi kumpenda nani hapa JF?

haaa DEMBA we unamsikiliza chama? keshasema mvuvi kufia baharini inaswihi kabisa na sio kugongwa na dala dala. Kwa Mamndenyi naona ndo hakuna gia ya reverse lol naona tumwite kwenye mpambano

Sir Kaizer umeonaee salute to madame Mamndenyi kwa jinsi ambavyo amekuwa bubu kwa brother chama. Halafu mimi simuelewagi Madame B, hivi atamuweza huyu mwanasiasa mfia chama ZeMarcopolo kweli? Mimi naona bora aendelee kum-tight Nyani Ngabu tu maana angalau ana muda wa kumtoa outing. huyu jamaa Ritz, sijui hata kama anajua mahaba, concentration yake kubwa iko kwenye kujenga chama. halafu wewe Jerrymsigwa, huyo Heaven of Earth utajuta kumpenda maana ana vigogo huyo wacha kabisa
 
Pesa unazo?

Hilo si tatizo nimejikomboa toka utumwa wa fedha kitambo sana! tanzanite mkombozi, hata akiwapanga wa kwao wote nitahudumia! but huyu sitaki kumuonga kwani kuna zaidi ya hela, nataka aje tuzimiliki na kuzitunishe zaidi! akishazizoea je atakuwa amebakiza nini kwa ajili yangu? Ukila chakula ukashiba ipasavyo halafu after every 5mins ukawa unatupia kujazilia kile kilichomeng'enywa utarudia kusikia njaa!? na utatamani nini zaidi? Namtafutia la zaidi ya fedha!
 
Kwani Mamndenyi hushangai Chama amemfahamia wapi mama toto.
 
hahahaha kumbe na wewe bilionea wa arachuga, sukumana naye tu utamnyaka fasta kama una kitoweo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…