Piga kimya, swali sio lako.
aulizaye atakajua; visirani vya nini asubuhi hii niache nijilie chapati kwa ngisi wa kupwaza!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Piga kimya, swali sio lako.
Pesa unazo?
Kwani Mamndenyi hushangai Chama amemfahamia wapi mama toto.Mamndenyi
Sisi tulime maisha bora yatapatikana tu; siasa imeharibiwa siku hizi waganga njaa wengi siasa imegeuka uwanja wa majungu na fitina; na huyu bombom amezukia wapi? maziwa yenyewe ya mgando yeye anataka kuyapikia chai ana wazimu? yupo saizi yake mama toto atamfaa sana; mwendesha kwama naye anataka kuendesha Marcedes? Au ndio hizo sembe ?
heaven on earth, nahis una maisha ya furaha sana
heaven on earth
Nawapenda wooote, upendo wa dhati toka MOYONI.
Kama wewe ni she, mi nakuchagua wewe. Ila kama ni he.......... am sorry!
hahahaha kumbe na wewe bilionea wa arachuga, sukumana naye tu utamnyaka fasta kama una kitoweoHilo si tatizo nimejikomboa toka utumwa wa fedha kitambo sana! tanzanite mkombozi, hata akiwapanga wa kwao wote nitahudumia! but huyu sitaki kumuonga kwani kuna zaidi ya hela, nataka aje tuzimiliki na kuzitunishe zaidi! akishazizoea je atakuwa amebakiza nini kwa ajili yangu? Ukila chakula ukashiba ipasavyo halafu after every 5mins ukawa unatupia kujazilia kile kilichomeng'enywa utarudia kusikia njaa!? na utatamani nini zaidi? Namtafutia la zaidi ya fedha!
kwanini umewaza hivi jamani!!!!!
Mkuu Young Master wewe je moyo wako wagagasikia kwa nani hapa jukwaani?
Kama komaa na huyu huyu Heaven on earth,Hivi mi sipendwi hata na mmoja, loh
hayupo hapa...angekuwepo ningemtaja.
okay msalimie huko alipo facebook etc