- Thread starter
- #661
Mndengereko asante sana jamani......,nimefurahi aisee
halafu umeshukuru na kushukuru...............mama weeee, nway sina jinsi zaidi ya kukuamini na kutuliza moyo wangu, nisije kujifia bure mie na kukuacha huku wengine wakikufaidi mchana na usiku