Mndengereko asante sana jamani......,nimefurahi aisee
nimefurahi na mimi kukuona umefurahi!!!Mndengereko asante sana jamani......,nimefurahi aisee
nyota yake kali huyu acha tu tuuane,mwisho wa siku mwenye kisu kikai ndio mla nyamahalafu umeshukuru na kushukuru...............mama weeee, nway sina jinsi zaidi ya kukuamini na kutuliza moyo wangu, nisije kujifia bure mie na kukuacha huku wengine wakikufaidi mchana na usiku
nyota yake kali huyu acha tu tuuane,mwisho wa siku mwenye kisu kikai ndio mla nyama
nasubiri conatract yake iishe kwako nimpe mkataba mpya kutoka kwangu naamini hawezi kuukataa halafu ukizingatia nimeanza kujua chimbo zake i hope nitafanikiwa.haya bana tuendelee na hii vita baridi ila naamini nishampata maana leo kaamkia kwangu
nasubiri conatract yake iishe kwako nimpe mkataba mpya kutoka kwangu naamini hawezi kuukataa halafu ukizingatia nimeanza kujua chimbo zake i hope nitafanikiwa.
unaandikia mate wakati wino upo ngoja mwenyewe aje aseme!!!contract ya Heaven on earth+, kwangu ni ya kudumu sio kama ya wachezaji wa soka wa ulaya bana, utajiju
unaandikia mate wakati wino upo ngoja mwenyewe aje aseme!!!
hapo ndipo nitakapoamini sina changu!!! hahahahkwa jinsi anavyonipenda na kuniheshimu, akifika hapa atakuumbua tu Mkuu
hapo ndipo nitakapoamini sina changu!!! hahahah
Hahahahaa ulikuwa hujui? Lol
hhah haya we mchoshe tu na kukupikia pikia akija kwangu hata sufuria hata gusa,wewe subiria tu kama inanyolewa, utaumbuka very soon, sasa hivi ananipikia lunch
hhah haya we mchoshe tu na kukupikia pikia akija kwangu hata sufuria hata gusa,