Unahisi kumpenda nani hapa JF?

Unahisi kumpenda nani hapa JF?

wewe si ndo ulimteteaga huyu? si unaona sasa?
acha uchoanganishi bana Demba
yani we acha tu! Sijui nimrudishie gari lake?
Sweetie, punguza jazba please
usirudishe wewe mchuma huo. tena umwambie akujengee na nyumba. ukiwa na hasira za kurudisha vitu utakufa masikini mjini hapa. shaulilo
Nyumba iko kwenye level ya kupakwa rangi, soon tutahamia na Munkari wangu
afu kweli loh! Bas best ngoja niuchune,afu kile kiwanja cha makotopola alisema atanipa hehee! Usimwambie mtu!
sio kiwanja tu, na shamba pia
 
Last edited by a moderator:
message sent and delivered...............
Kaizer naomba umlee mdogo wangu DEMBA kwa mapenzi yote..........

Heaven on earth, hivi DEMBA ni mdogo wako? Mbona kuna nyakati niliwaona jukwaa fulani mkizungumza na Kaizer kimahaba habati, kilaazizi laazizi zaidi. Mimi nikajua watoka naye. Eeee kwakweli nahitaji ufafanuzi au nipeleke hizi tuhuma kwa Baba Paroko
 
Back
Top Bottom