sungura1980
JF-Expert Member
- May 20, 2013
- 1,909
- 1,213
Munkari, kesho atakuwa anachat hapa JF akiwa nyumbani kwangu, weekend bana. cc: Kaizer, sungura1980, etc
he hee hee mbaazi zikikosa maua husingizia jua.
sungura1980, hivi shemeji "Lady Bantu" ashasoma topic hii?
Leo ndo nimekufumaaaa........Hahahahaaa unataka kunichonganisha na mdogo wako?
Ilikuwa halali yake kumnyemelea mrembo Munkari, pia alikuwa single ujue.
Nampenda sana mume wangu Sungura1980.