Sawa baada ya miezi tisa jiandae kumpatia mtoto wetu jina maana mechi niliyocheza na Viol jana duu si mchezo yaan
Hivi kwanini sijakufahamu toka mwanzo mpenzi,sijawahi kupewa utamu kama huo,Hebu njoo bhana kule nimemiss mapigo yako ya moyo yanavyoenda kasi mambo yakikolea😛😛
Yaliyomo yamo lkn??? Just curious😉😉
Lol ata mimi nashangaa sijui yale mautamu niliyoyafaidi na atoto nae alikuwa anayafaidi... bora mliachana tuu jaman atoto alikuwa ananizibia riziki. Kwa mara ya kwaza nime enjoy penzi jamani ni jana natamani iendelee ivyo ivyo.
Hahahaaaa atoto maumivu yakizidi mtafute Manga ML atoke huko kwenye mwezi mtukufu.

Ndo ukweli huo mamy nililala kwenye six p. Adi pakakucha lol mwanaume anajua kudekeza huyo jamani yaan raha burudan utazan tunacheza movie yani
😱😱😱 kwenye six nini??? Au nimesoma vibaya? Hebu nipe miwani tafadhali
Hahahahaaaaaaa!!! Weeee huyo hata hakuuonja utamu wangu hata chembe, aliishia kwenye probation tu,
Hebu muache Manga ML wangu usimuharibie mfungo wake huko(the sweetest man ever lived) nawe maumivu yakizidi usijali mweka hazina nipo takupooza kwa mashoping ya hatari si unajua nazihifadhi vzr(for staters thats a very good strategy) kumbe somo lilikuingia, kazana mdogo wangu mpaka kieleweke.
Ndo maana nakupenda mpenzi ur so sweet
Park maadam kwani wew ulizani six nini hahahahaaaaa....ivi mamy huu uzi ni upi? Ule ule wa mwanzo?
Imebidi nirudi niangalie heading ya uzi tusijekuwa tunabaka mada, ni uzi ule ule mamii, nilikuelewa ila sasa nikajiuliza hv mdogo wangu anakijua hicho anachokiongelea kweli au akisikiaga zinatajwa anahisi ni kitanda!!!
Hizi nyuzi smtms zinachanganya. Mwenyewe jana nilichanganyika
Hata mimi nampenda sana mume wangu lols
Uwiiiiii!! Hebu tuondoke mama, kumbe tumechanganya madesa!!