maishapopote
JF-Expert Member
- May 28, 2009
- 3,408
- 6,094
kwa kweli mi namzimia diana doble diff hahahaha bila kumsahau bwabwa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mpwaaz kuna jukwaa la hali ya hewa za gesti hujaliona?
Masaki umewaza nini? umenifanya nicheke kwa nguvu unajua?Hii hali ya hewa leo jamani gesti za Sinza lazima zitajaa mapema, halafu itasababisha watu kuvunja nadhiri zao za Kwaresima!
hehehehe!Shemeji kwa mashairi tu, sio mchezo...hommie huyoooooo taratiib anarudisha upanga alani!😀
actually sio yeye!yeye ananukuu tu kwa mchanganuo zaidikhaaaaaaaaaaa! siamini majicho yangu.Hata wewe? of all shemejiz?😕
Masaki umewaza nini? umenifanya nicheke kwa nguvu unajua?
Shemeji kwa mashairi tu, sio mchezo...hommie huyoooooo taratiib anarudisha upanga alani!😀
The Following User Says Thank You to Masaki For This Useful Post: MwanajamiiOne (Today)
Masaki ile yuzifuli posti yako ya gesti ya sinza umekamata senksi ya mjukuu wangu.
Hii inamaanisha nini?
Babu Shkang'The Following User Says Thank You to Masaki For This Useful Post: MwanajamiiOne (Today)
Masaki ile yuzifuli posti yako ya gesti ya sinza umekamata senksi ya mjukuu wangu.
Hii inamaanisha nini?
Mimi nawapenda cheusimangala na First lady
Babu Shkang'
Mbona unafitinisha na Masaki? Mimi nimefurahi tu kwa kuwa amewaza outside the Box jamani!!
Masaki usijali Babu amefulia anatafuta mkaja wa babu kwa nguvu lol
mmh!!!Niko kimaslahi zaidi kajukuu.
Mpaka kieleweke.
FirstLady1, Alhamask, bht, Bigirita, carmel, Fixed Point, Fredwash, King of Kings, Kyachakiche, montekalo, Mtu B, MwanajamiiOne, MzeePunch, Superman
HIVI KAZI ZINAFANYIKA KWELI? LUNCH MMEENDA...NAWAKUMBUSHA NI SAA 1:30PM KAMA MMESAHAU