Unahisi kumpenda nani hapa JF?

Mi namzimia Cheusimangala...teh te teh!. sasa mbona unastuka? si tumeambiwa mapenzi ni mchanganyiko wa mambo?
 
namshukuru Maulana sikuwepo!!!

BTW hiy signature....mmh!!! (i hv a problem today...am short of words)
a problem shared is a problem half solved.......
Nina sikio la kusikiliza!
 
Sio mbaya lakini bht, si unajua hii Kwaresima ukipitiliza unatangaza tu kuwa nimefunga, kuliko kwenda kula saa kumi utapingana na utaalamu wa Ndugu Ndodi
Hivi huyu jamaa ni nani?
Nilishamuona once anajifanya sijui mganga, nabii, daktari, sikumuelewa kimsingi!
 
JF Star Search wala hahitajiki humu ndani, labda gharama za kwenda kurekodi tu ziwe juu, ila vipaji vimo babaake
 
Mie nawapenda mchanganyiko wooote wanaume na wanawake ...hata mmoja sibagui hata nijiulize ni juu ya nini niwabague jibu ni No mnanipa raha kila napo _Log in JF
Ni vigumu kumshukuru kila mmoja wenu lakini michango yenu naithamini sana
 
Mpwa hivi ulisema unatumia kinywaji gani vile?

Mpwa Goeff nitafutepo nina ujumbe wa muhimu sana ambao hautakiwi ulale

Hommi Xpin kuna data na-analyse lakini so far mambo mazuri

MJ1 popote ulipo....una kesi ya kujibu
Kwenye blue nahisi kama nimekuelewa

Kwenye black nimekuelewa

Kwenye red.......πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€!!!!!!!!!
 
dots hiziza hivi..............? wat z so special with the dots Goeff?
Kwani kuna nyingine zaidi ya hizi?...............tic toc tic toc, au hizi kama za saa! au zile za kungoja majibu, unazijua......kifuani kwa moyo, halafu kama hizo hizo huwa zinakuwaga wakati naniliuuu, presha inapanda........inashuka baaadaeeee!

Yani nimejikuta naandika tu! nafikiri kwa niaba yako
 
Mpwa hivi ulisema unatumia kinywaji gani vile?

Kwenye blue nahisi kama nimekuelewa

Kwenye black nimekuelewa

Kwenye red.......πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€!!!!!!!!!
Konyagi, nachanganya na tonic/clubsoda, usisahau na slace za limao
 
Najaribu kukusoma katikati ya mistari, waseminaristi siyo wa kusomwa kijuujuu!
 
Mie nawapenda mchanganyiko wooote wanaume na wanawake ...hata mmoja sibagui hata nijiulize ni juu ya nini niwabague jibu ni No mnanipa raha kila napo _Log in JF
Ni vigumu kumshukuru kila mmoja wenu lakini michango yenu naithamini sana
Ukweli ni kwamba FL1 wewe ni kati ya watu ninaowapenda hapa JF, unanipa raha sana na zaidi unanipa hamu ya kuendelea kulogin in, pamoja siku zote mama
 
Konyagi, nachanganya na tonic/clubsoda, usisahau na slace za limao

Mhudumuuuuu!

Leta bapa moja na clubsoda ya moto fasta. Na valuu tafadhalie. Afu niitie mtu wa jikoni kabisa!
 
Mie nawapenda mchanganyiko wooote wanaume na wanawake ...hata mmoja sibagui hata nijiulize ni juu ya nini niwabague jibu ni No mnanipa raha kila napo _Log in JF
Ni vigumu kumshukuru kila mmoja wenu lakini michango yenu naithamini sana

Kwa kweli kila mtu anatia raha humu jamvini kwa staili yake. maana mtu ukiwa unasoma posts mara ucheke, mara utabasamu, mara unune, mara ushangae..... ilimradi tu masaa yanaenda. na unaweza kujikuta siku nzima upo glued kwenye JF web page.
 
Nani huyo anakununisha?
 
Ukweli ni kwamba FL1 wewe ni kati ya watu ninaowapenda hapa JF, unanipa raha sana na zaidi unanipa hamu ya kuendelea kulogin in, pamoja siku zote mama
Tangu mwanzo wa thread mpaka hapa tulipo sijaona sehemu uliyonifagilia japo kiduchu. Mimi na wewe tumewahi kugombea mapenzi? Do the needful basi kaka/dada. LOLZ! Hahahaha!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…