Unahisi kumpenda nani hapa JF?

Unahisi kumpenda nani hapa JF?

Jamani si Nilitanguliza kuomba msamaha kama kuna mtu nitakuwa nimemkwaza kwa kumtaja Munkari?!!
Hahahaaaaa,huyu aliyeanzisha huu uzi nilijua analeta vita humu ndani,bora watu wengine tungebaki na siri zetu moyoni!
Aisee kwenye mapenzi hakuna muafaka kwa mtu anayefukuzia asali wa moyo wako
 
Aisee kwenye mapenzi hakuna muafaka kwa mtu anayefukuzia asali wa moyo wako

Hahaaa yamekuwa hayo,jamani ngozi yangu naipenda mie,sitaki kumwagiwa tindikali!Ukishasikia watu wanasema hakuna muafaka,kinachofuata hapo ni tindikali,tetehehee!!!!
 
Hahaaa yamekuwa hayo,jamani ngozi yangu naipenda mie,sitaki kumwagiwa tindikali!Ukishasikia watu wanasema hakuna muafaka,kinachofuata hapo ni tindikali,tetehehee!!!!
hahahaa usijali kaka, hakuna cha tindikali hapa
 
wote tu walio na furaha na MAENDELEO ya CDM ndiyo GREAT THINKERS wangu na wanakarahika na mwenendo mmbaya wafaulu za CCM kwa CDM
 
Back
Top Bottom