Unahisi kumpenda nani hapa JF?

Unahisi kumpenda nani hapa JF?

Mkuu ebu tuachie huyu kigoli vijana tufaidike bana, huyu atakuvunja kiuno

hahaha Mokoyo usinivunje mbavu usiku huu.......kama hakijavunjika toka ujanani wakati huu hakiwezi, huyu DEMBA atahandle with care najua
 
Last edited by a moderator:
hahaha Mokoyo usinivunje mbavu usiku huu.......kama hakijavunjika toka ujanani wakati huu hakiwezi, huyu DEMBA atahandle with care najua

Mkuu tutakuja kukusalimia MOI ukiwa chini ya ulinzi, kiuno kikiwa tilalila
 
Moi ntapelekwa kwa mengine sio kiuno,


Na ikitokea ujue MMU na CC woote watakuja msururu utakuwa mrefu kuliko wa Ponda kwa kutokuamini
CC DEMBA
Mkuu na wewe ulivyo na wafuasi wengi hapa mjengoni, wale wa m-ponda ni cha mtoto
 
Last edited by a moderator:
Kaizer pia ni moja ya ndugu zangu niwapendao na nafurahia uwepo wao hapa jamvini.

Kuna dada zangu kina Fixed Point, Snowhite, MwanajamiiOne etc.

Bila kumsahau Roulette na rafiki chipenzi Dena Amsi.
List ni ndefu . . . . ni wengi sana ninaowafeel

Kipipi, ni sawa kuwataja wengi hivi lakini mada inataka umtaje mmoja tu tena opposite sex ambaye unampenda penda vile a.k.a unamzimikia
 
Back
Top Bottom